Wangoni wana matatizo gani???

Wangoni wana matatizo gani???

mkuu maana ya jokes ni utani,na moja ya mambo uatakayokutana nayo huku ni watani zao kama wasukuma.

sawa kabisa mkuu. Usisahau na wale watani zetu wanaomfanya mlinzi wao kitoweo baada ya kunona.
 
kuchangia upupu kama huu ni kuonyesha jinsi ulivyo mkabila..
Na kama si ukabila mbona makabila yanayotaniwa ni
YALE YALE...kama vipi andika kabila ya mama yako tuichambue..

WANAVYOPENDA....kunaniiiii.,,,,
 
kuchangia upupu kama huu ni kuonyesha jinsi ulivyo mkabila..
Na kama si ukabila mbona makabila yanayotaniwa ni
YALE YALE...kama vipi andika kabila ya mama yako tuichambue..

Mama yangu ni Mngoni
 
upekuzi tu kaka
Siku moja wakati nikiwa napata moja moto moja baridi kwetu Tz. Nilimsikia jamaa mmoja akimwambia mwenzake "Mngoni bora umpe milioni mia atafikisha salama kuliko kumwamini kukulelea mtoto wako wa kike au kumsindikiza mkeo". Nikabaki najiuliza hawa ndugu zetu wana tatizo gani? Nisaidieni wana JF
 
Kama vipi muulize mkeo kama wale watoto WENU ni wangoni au wa kabila lako.................... BY THE WAY, HUYO MWANAMKE AMBAYE HAWEZI FIKA BILA KUMEGWA NA MNGONI ANAKUWA WA KABILA GANI...???
 
Mama yangu ni Mngoni[/QUOTE]

si umerudia kabila hili hili linalotaniwa hapa.. au una mtindio wa ubongo au wa ukabila..
 
Back
Top Bottom