Wangapi wapo single humu?

Wangapi wapo single humu?

Singo inayotamba kitaani kama Nyegezi ndo mimi ila warembo wamenibania kama basata
 
Dah...
Mimi huwa nakuwa single wa dharura panapotokea uhitaji.
Mtoto mzuri akitokea anahitaji msaada kwenye tuta, huwa nakuwa single for the next three months.

Then narudi hali yangu ya kuwa coupled.

Watoto wazuri ninaowapendaga ni:
1)Wanaojua kudeka deka, mpaka najikuta nahonga bila kupenda.
2)Wenye matege ya mikono.
3)Wenye mwanya meno ya chini.
4)Mengine huwa navumulia tu.
😂😂😂😂😂 hadi raha hapo mimi ni nadekaga na kuongea english ila niko njia panda.
 
Usiogope mimi nipo njia panda ila kama wewe upo single na una wish kuwa na kitu amazing tuambie Vijana na wasichana.
Huu ndio muda wakushuka shukeni.
Mtu ashuke tu mimi nipo single na ningependa kuwa na demu wa aina hii.
Au na mfeel mtu huyu.
Tiririkeni .
Ww
me au ke
 
Jamani ambaye ni single shuka sasa naupate mtu unayemtaka.
 
Mimi napenda demu aliyetulia,siriazi,mkorofi,mzuri,ambaye hana tamaa,Mwenye heshima kwa kila mtu.huyo ndiye nimpendae
 
Back
Top Bottom