Wangapi wapo single humu?

Wangapi wapo single humu?

Napendaga kuongea ukweli...Mimi ni HANDSOME BOY wa kwanza aliye SINGLE
 
Daaah huu uzi naubatiza okoa mateka, kiongozi wa ma singles Niko apo
 
kusema ukweli ni kazi... ila nipo single na natamani sana kuwa na mwenzangu nitakayeelewana nae sema bado sijampata....!
na nikipenda napenda kweli...
 
2019 hii leo july 18 tulio singo mpaka sasa tujuane na tufanye party ya masingoz,
 
Back
Top Bottom