Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Njia panda ya wapi nije nikuchukue?Ila from now onwards nipo njia panda
ChalinzeeNjia panda ya wapi nije nikuchukue?



ukisimama njia panda sana mvua itakukuta hapo au gari litakuacha kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda either g.mboto au mbagala be strong chagua kile akili yako inaona ni sahihi .. Here I am just for you..Da Vinci
Nipo njia panda ndugu sijui nifanyaje mpendwa sijui nipo njia panda .
Kwa sasa naweza ringa nikaumbuka naweza nisiringe nikaumbuka vile vile.
😂😂😂😂😂😂 ushindwe nipo njia pandaMimi nipo singo. Nimeshushwa mahali. Nataka kukupanda.
Sawa asantee.ukisimama njia panda sana mvua itakukuta hapo au gari litakuacha kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda either g.mboto au mbagala be strong chagua kile akili yako inaona ni sahihi .. Here I am just for you..
Upo serious utapata ila acha kusema chura ili iwe kisingizio your time is nowMimi nipo single natafuta chura kama lote!![]()
Da Vinci
Nipo njia panda ndugu sijui nifanyaje mpendwa sijui nipo njia panda .
Kwa sasa naweza ringa nikaumbuka naweza nisiringe nikaumbuka vile vile.
aisee!, nakuja kukuchukua nisubiri hapo hapo.Chalinzee
Mwenzako @ziroIQ anajitahidi kujinadi lkn unampotezea vibaya hvyo
Kwakweli
Penzi na ndoa ni uongo lazima tupeane muda wakujuana je kama hamuendani ndio mambo yakutoka njee.Tatizo lenu mnataka penzi na ndoa papohapo! We wape vijana mambo wa kuoa atapatikana tu.
Sasa Da vinci kasema anakuja basi nitafanya sada kalawe .aisee!, nakuja kukuchukua nisubiri hapo hapo.


Mwenzako @ziroIQ anajitahidi kujinadi lkn unampotezea vibaya hvyo
Penzi na ndoa ni uongo lazima tupeane muda wakujuana je kama hamuendani ndio mambo yakutoka njee.
Kule juu
Jamani wapi nimempotezea?
Sasa kama napenda chura nisiwe muwazi??!Upo serious utapata ila acha kusema chura ili iwe kisingizio your time is now



Nani tena atukimbize!, inamaana tupo watatu?, atakayewahi huyo huyo.Sasa Da vinci kasema anakuja basi nitafanya sada kalawe .
Mwenye kupata apate kama mtakimbizwa na panga mi sijui
Eh atakaye wahi ila unaweza kushinda majaribu couze huku niliponjia panda pamejaa visaa.Nani tena atukimbize!, inamaana tupo watatu?, atakayewahi huyo huyo.