Wangapi wapo single humu?

Wangapi wapo single humu?

Sasa kama napenda chura nisiwe muwazi??!
Punguza vigezo hujui humu kuna watu wanakupendaga ila kigezo chako ndio kinakuweka mpweke legeza sema chura iwe wastani ila awe mrembo sio sana nitaibiwa asiwe mrefu sana wastani couze nitashindwa kushika yote miguu vizuri .
Basi ule mzigo wako kirahisi so nataka chura nenda miferejini.
 
Acheni kuona aibu shukeni walio single mupeane raha hii chrismass usikubali kula mwenyewe .
Napia ukianza mwaka usipende kukaa bila kumisiwa au kumiss mtu .
 
Punguza vigezo hujui humu kuna watu wanakupendaga ila kigezo chako ndio kinakuweka mpweke legeza sema chura iwe wastani ila awe mrembo sio sana nitaibiwa asiwe mrefu sana wastani couze nitashindwa kushika yote miguu vizuri .
Basi ule mzigo wako kirahisi so nataka chura nenda miferejini.
Mimi bila kupata chura kubwa heri nibakie single milele!
 
Mimi ni single ila nangoja kupendwa nikipenda Mimi sitapendeka na ninaempenda
Nangoja kupendwa mie
 
Eh atakaye wahi ila unaweza kushinda majaribu couze huku niliponjia panda pamejaa visaa.
nitayashinda tu hayo majaribu maana kupata kitu kizuri lazma utapitia vikwazo vingi, survival of the fittest itatumika hapo.
 
Usiogope mimi nipo njia panda ila kama wewe upo single na una wish kuwa na kitu amazing tuambie Vijana na wasichana.
Huu ndio muda wakushuka shukeni.
Mtu ashuke tu mimi nipo single na ningependa kuwa na demu wa aina hii.
Au na mfeel mtu huyu.
Tiririkeni .
We ni Ke au Me na status yako ni ipi
 
Back
Top Bottom