ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Shemeji yako hajambo kwanza!....kuishi kwa dada!











umenifukuza wacha niende




Shemeji yako hajambo kwanza!....kuishi kwa dada!











umenifukuza wacha niende




Mtamu ee?Huu Uzi bana
kwa nini upo njia panda my darling?Ila niko njia panda
Tena nipo segera na shangaa tu.kwa nini upo njia panda my darling?
Acha kushangaa shangaa leta hiyo chura hapa ninaihitaji!Tena nipo segera na shangaa tu.
😂😂😂😂Acha kushangaa shangaa leta hiyo chura hapa ninaihitaji!
Hahahaha fa....l weee nimecheka hiyo namba nne haki ni kuvumiliaDah...
Mimi huwa nakuwa single wa dharura panapotokea uhitaji.
Mtoto mzuri akitokea anahitaji msaada kwenye tuta, huwa nakuwa single for the next three months.
Then narudi hali yangu ya kuwa coupled.
Watoto wazuri ninaowapendaga ni:
1)Wanaojua kudeka deka, mpaka najikuta nahonga bila kupenda.
2)Wenye matege ya mikono.
3)Wenye mwanya meno ya chini.
4)Mengine huwa navumulia tu.
nani usione