Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Yani pesa zikufanye uolewa na MTU hata kupapasa hawezi? Hapana .
Ushamjaribu? Hamna jeuri ya kukataa mwenye pesa, labda wenye senti. Utakubali kuolewa then utajiongeza. Huwezi kukataa $1m assurance
 
Ndoa ya kikristo hainaga talaka....
TALAKA hutolewa mahakamani na sio kanisani... mami kasema haina talaka.....ndoa kibao za kikrisrto zinabatilishwa mahakamani..........hata ya Mengi ilishaabatilishwa kitambo, ila walikuwa na makubalian maalum....na mke mkubwa...
 
umetishaa mkuu, nakumbuka kuna demu aliolewa chuo kisa kajamaa kana kakazi na geto kuna subwoofer etc. tumemaliza chuo demu kuona amebugi as colleagues aliokuwa anawadharau chuo wana better prospects na kazi akaanza kuachia. now ameshaachana na jamaa
 
Umeona sasa. Huyo alipenda getto lakini haitwi gold digger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…