Wangapi wanayapenda haya maisha?

Wangapi wanayapenda haya maisha?

Aisee sitaki mume asiye naadabu hivi unamtoto halafu unavaa mlegezo ,itakuwa na bangi anavuta .
Chai hii ni pasua kichwa .
Mume lazima ajiheshimu .
Avae mavazi ya kujenga sio kubomoa kama hayo vaa jinsi kiunoni.
Na uvae fulana sio ukae kihasara kama mjenzi
ha ha ha
 
Huyo mwanaume anaonekana yuko hot, humble, co sex, n romantic. [emoji14][emoji14]
 
Aisee sitaki mume asiye naadabu hivi unamtoto halafu unavaa mlegezo ,itakuwa na bangi anavuta .
Chai hii ni pasua kichwa .
Mume lazima ajiheshimu .
Avae mavazi ya kujenga sio kubomoa kama hayo vaa jinsi kiunoni.
Na uvae fulana sio ukae kihasara kama mjenzi
ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom