Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Pole maalimu wangu tatizo hilo la umeme ni changamoto kubwa.Baba Mkuu Guasa...
Kutwa nzima sina umeme.
Si kama LUKU yangu imakata, la hasha.
TANESCO kazima!
Ndiyo maana nimechelewa kuja barzani.
Ahsante umenileta kwenye, ''kubonga.''
Umslopogaaz nimekujua toka zamani wapenda uwezo na nguvu nyingi tabia hii ipo katika damu yako mwanzoni ulipofanya shauri juu ya ketswayo bin mpande nilikuonya ukanisikiliza lakini sasa umechimba shimo kwa mikono yako na kwa miguu yako mwenyewe umetumbukia kwani nani awezae kuangulia nuru iliyokuwepo mwaka jana ?au kurudisha maneno yaliyo kwisha semwa? au kuokoa roho zilizokwisha angamia ?yaliyo mezwa na wakati hayarudi na kisa chako na kisahauliwe! Tena ulijulikana shujaa na nyakati za usiku watuwalipokaa na kuuzunguuka moto na kutaja khabari za matendo yako je wamuona huyu? Jina lake inkubu nae ana nguvu kama wewe aweza kukuchukua na kukutupa begani pake tena wamuona yule mwenye rodi jina lake bougwan nae ni mtu mwema muaminifu.Baba Mkuu Guasa...
Kutwa nzima sina umeme.
Si kama LUKU yangu imakata, la hasha.
TANESCO kazima!
Ndiyo maana nimechelewa kuja barzani.
Ahsante umenileta kwenye, ''kubonga.''
Kwanza nikushukuru mkuu for taking your time to respond on this. Pili kuhusu age worry not coz kama ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa vitabu vya akina Umsolopagaas basi jua mvua kadhaa zimenipitia. Tatu nashukuru pia nimeshakipata hicho kitabu humu kuna member amekiweka hapa, asante.
Guasa...Umslopogaaz nimekujua toka zamani wapenda uwezo na nguvu nyingi tabia hii ipo katika damu miaka ya nyuma nilikuonya juu ya ketswayo bin mpande ukanisikiliza lakini sasa umechimba shimo kwa mikono yako na kwa miguu yako mwenyewe umetumbukia kwani nani awezae kuangulia nuru iliyokuwepo mwaka jana ?au kurudisha maneno yalivyo kwisha sema? au kuokoa roho zilizokwisha kufa ?yaliyo mezwa na wakati hayarudi na kisa chako na kisahauliwe! Tena ulijulikana shujaa na nyakati za usiku watu waliuzunguuka moto na kutaja khabari za matendo yako je wamuona huyu? Jina lake inkubu nae ana nguvu kama wewe aweza kukuchukua na kukutupa begani pake tena wamuona yule mwenye rodi jina lake bougwan nae ni mtu mwema muaminifu.
Basi sisi sote tumepanga kwenda safari dongo egere kwani tumechoka kukaa mahala pamoja na kuzunguukwa na mambo yale yale kila siku zimepita tuliongozana na mtu kama wewe UMBOPA katika nchi ya ukukuana tazama tulipo achana nae alikuwa na jeshi lenye vikosi ishirini na kila kikosi kina askari elfu tatu wanasubiri amri yake ukiongozana nasi utakuwa na amri juu wa wapagazi wetu sijui kitakacho kukuta wewe je unaweza kuongozana nasi na kubahatisha ajali au unaogopa umslopogaaz ?
Maneno unayosema si ya kweli makumazahn ila ni aibu kusema ni uso mzuri wa mwanamke ndio ulio nihaini na sasa tutaona mambo kama tuliyo yaona zamani katika nchi ya uzulu tulipo winda na kupigana makumazahn ?
Ndio nitakuja ikiwa ni kwa maisha ama kwa mauti ni mamoja kwangu mapigano yaanguke upesi na damu imwagike tu.
Ipogolo,Nimekumbuka mbali sana. INKUBU! Enzi zileee unaenda Maktaba ya Mkoa unapewa kadi(3)za usajili, unampelekea mzazi anakusainia kisha unapeleka shule kwa mkuu anakusainia na kugonga muhuri.
Tayari unakuwa member wa library. Kazi yako hapo ni kuazima vitabu. Kila baada ya wiki mbili unarudisha kitabu library na kuchukua kingine
Guasa...Pole maalimu wangu tatizo hilo la umeme ni changamoto kubwa.
Kisha nikamwambia nyamaza wewe maneno yako yanayobubujika na kutugharikisha hapa kwanza lazima niseme hakuna tabia inayoniudhi kama ya Wazulu ya KUBONGA(bongering )kusifia kitu kupita kiasi tulipo achana ulikuwa mfalme katika nchi ya uzulu unafanya nini katika nchi ngeni hii ?
Maalimu hata pilipili huwasha lakini ndio raha yake hiyo si waona faida tunayo ipata jinsi unavyofunguka na kutoa khabari mbalimbali mungu akubariki.Guasa...
Wewe mtu una ghasia sana wewe!
Jamani nitapata wapi hiki kitabu.?Pole maalimu wangu tatizo hilo la umeme ni changamoto kubwa.
Kisha nikamwambia nyamaza wewe maneno yako yanayobubujika na kutugharikisha hapa kwanza lazima niseme hakuna tabia inayoniudhi kama ya Wazulu ya KUBONGA(bongering )kusifia kitu kupita kiasi tulipo achana ulikuwa mfalme katika nchi ya uzulu unafanya nini katika nchi ngeni hii ?
Guasa...Maalimu hata pilipili huwasha lakini ndio raha yake hiyo si waona faida tunayo ipata jinsi unavyofunguka na kutoa khabari mbalimbali mungu akubariki.
Twalijua hilo maalimu ndo maana huanzisha vita japo twajua silaha hatuna ila twachokoza mbabe atoke huko na kutupa mbinu.Maalimu huburudika sana kwa historia ambayo humwaga humu jf ni barza kubwa na adhwimu.Guasa...
Sikiza bwana.
Ukishafika umri wa uzee kama wangu kuna vitu viwili havikushindi.
Cha kwanza kulala na cha pili kuzungumza.
Mimi mwenyewe uwezo wa kuja na jipya umepungua sana lakini
mtu akinishtua ndipo kumbukumbu zinarejea.
Guasa...Twalijua hilo maalimu ndo maana huanzisha vita japo twajua silaha hatuna ila twachokoza mbabe atoke huko na kutupa mbinu.Maalimu huburudika sana kwa historia ambayo humwaga humu jf ni barza kubwa na adhwimu.