Mimi sijui......na nikifundishwa naweza nisijue kabisa.........kuna esabu........?.....
Hao jamaa walitaka tengeneza dawa ya kuzuia uzee na kufa wakashindwa ikawa mwisho wao
Unajua ni kwanini? Ndio maana alchemy haizungumzii kuhusu wazi(thought) japo huwezi kuzungumzia theory bila kuwa na thought
Kwahiyo pale wao walipokwamia palikuja kupata mwendelezo wa kibailojia na kisayansi na ni mengi kwakweli yamekuja kuendelezwa kutokana na wazo lao hilo
Kwahiyo kimsingi Alchemy ni thought theory na practice

Thought na theory hapo nakubaliana nawe practice ilishindikana zamani mfano
1 Kutengeneza almasi(diamond) maabara
2 kutengeneza chakula maabara
3 dawa ya kuzuia uzee na kifo
Hapo kweny practice ilishindwa kabisaaa ikabaki chemistry tunayosoma leo duniani ambayo imekua theory ......but kama una maaelezo zaidi ya hayo tupe tujifunze mengine mengi
Alchemy ni sayansi ya kuzidisha na inatokana na phenomenon ya kiasili mno ya Ukuaji kwamba hakuna kinachotoka kwenye utupu
Alchemy sio mchakato wa kutengeneza kitu toka kwenye utupu bali ni sayansi ya kuongeza na kuboresha kilichopo tayari
Crippled mind... ff