Wangapi wanaijua alchemy

Wangapi wanaijua alchemy

The science of alchemy + it's theory
Kuna interaction ya ajabu yako ya 12 houses in astrology n zodiac na alchemy
 
1454899696637.jpg
alama nyingi hapo hupatikana pia kwenye ulimwengu wa nyota Freemason satanism luciferianism Brahmanism Buddhism Paganism Taoism Confuciusnism nk
 
Nchi nyingi za kibepari matajiri wengi faida na magawio kwenye mabenki hisa kwenye makampuni nk wanaitumia sana kanuni ya ALCHEMY
yaani mkono mtupu haulambwi, una bei gani utapata kulingana na ulichonacho... Kibiblia pia habari za talanta ni mtazamo huohuo
Alchemy pia iko kwenye dhana ya kutoa na kupokea, habari za mkono wa birika na ubatili usio na hekima, kwenye uumbaji na hata mambo ya kiroho hata hawa manabii na mitume wetu wanaitumia sana alchemy
cc: Preta
Nilikuwa sijui maana yake. Ila kwa maelezo yako nimekuelewa vizuri kabisa Mkuu. Asante kwa kunijuza
 
[emoji123][emoji123][emoji109][emoji116]
Nilikuwa sijui maana yake. Ila kwa maelezo yako nimekuelewa vizuri kabisa Mkuu. Asante kwa kunijuza

Jr[emoji769]
 
[emoji123][emoji109][emoji123][emoji109][emoji116]
NAWAACHA NA PRINCIPLE YA KWELI KUA MWENYE NACHO ATAZIDI KUONGEZEWA NA KANUNI YA KUPATA NI KUTOA

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom