Wangapi mmeshapanda mlima Kilimanjaro? Tupeane uzoefu

Wangapi mmeshapanda mlima Kilimanjaro? Tupeane uzoefu

Amesema alikuwa tenth grade...kumbuka hilo, meaning form two. Probably he was 16 or 17, of which atakuwa wa 1970 au 1971.
Ni kijana tu huyo.

Yes, I was a 10th grader in 1987.

However, at IST, that's form three not two like in TZ system, since we have 8th grade as equivalent of form one.
 
Yes, I was a 10th grader in 1987.

However, at IST, that's form three not two like in TZ system, since we have 8th grade as equivalent of form one.

But I still stand at 1970/1971 as your birth years. Mkuu kumbe umepita IST...hongera. Me nimepiga government schools tupu, kasoro nursery ndiyo ilikuwa ya wakatoliki.
 
Air density mchana ipo juu compared to night...altitude ile ni juu mno, blood circulation inapofika ubongoni possibility ya kutengeneza bubbles ni mkubwa na hizo bubbles hupasukia ndani ya mishipa ya ubongo...hence creating temporary madness!

There's a certain law in chemistry nimemsahau huyo chemist ni mfaransa ndiyo alizungumzia hiyo relationship between altitude na circulation of blood kwa wanaokwea milima mirefu au wale wanao dive baharini chini...ni zamani sana nimesahau kemia yangu ya mwalimu wangu.

Pressure law
 
But I still stand at 1970/1971 as your birth years. Mkuu kumbe umepita IST...hongera. Me nimepiga government schools tupu, kasoro nursery ndiyo ilikuwa ya wakatoliki.

You are correct about that.
1970 to be exact.
 
Nilishapanda huo mlima, ilikuwa 2014 tupo form two mpwawa secondary. Ilituchukua siku 6 kupanda na kushuka, tulianzia marangu getini hadi mandala hut, tukalaa hapo kesho yake safari hadi horombo hut tukalala pale, kesho yake tukaenda kutembea pale karibu na mawenzi peak na kisha kurudi pale horombo na kulala. Siku ya nne tukatoka horombo hadi kibo hut, tukalala hapo na usiku wake ndio safari ya kwenda kileleni, namshukuru Mungu kwani nilifika mpaka Gilmans point na kufanikiwa kupata cheti. Kesho yake safari kibo hut hadi horombo hut tukalala pale, na siku iliyofuata tukatoka horombo hadi marangu getini bila kusimama pale mandala. Kisha tukarudi tulipofikia pale moshi tech, kesho yake tukarudi shuleni mpwapwa secondary-Dodoma. It was a very fantastic and memorable journey!
 
Record nyingine hazitaleta maana kama utajihatarisha maisha yako.

Badiri kileleni ni -10 celcius. Una kifua cha aina gani cha kuzuia hiyo baridi?

Naam,

Nimejaribu kutafuta uwezekano kama upo lakini naona tafiti zinaonesha baridi kali la aina ile hypothermia lazima ikuue tu.

Inabidi kucheki issue nyingine.
 
Usikute wengihum keleletu hata udzungwa hawajaipanda
 
Mkuu Bavaria

Warusi ndiyo wanaweza mambo ya kukabili baridi kifua nje.

Sisi Afrika, tunataka kifo.

ImageUploadedByJamiiForums1439407575.380350.jpg
 
Last edited by a moderator:
Glaciation, avalanches... Pia barafu inaumiza macho mchana! Inang'aa sana. Hakuna miwani(tinted) yakuzuia miale mikali ya barafu.

ni uamuzi tu haijapangwa mda wa kwenda kileleni unaweza kwenda mda wowote tu kama unanguvu za kutosha.
 
Nilipanda CocaCola route wakati niko O Level ila sikufika Uhuru, niliishia Gilmans Point kwa sababu nyingi ikiwepo kupata shida kupumua kwenye summit night na ushiriano mdogo wa wale guides ambao walikuwa wanatupuuza kwa vile sisi wanafunzi.

Cha muhimu fanya mazoezi sana ya kutembea maana ule mlima ni kutembea all the way, mimi nilikua natoka town hadi Masaki kwa mguu. Hakikisha una viatu vizuri kwa ajili ya sumit night kabla ya sumit hata rubber unaweza kupanda nazo. Angalia youtube kuna wazungu wanaelezea nguo walizopanda nazo.

Kunywa maji mengi njiani na beba vidonge vya kusafishia maji, nenda polepole! Kuna jamaa walikuwa wanapanda kwa sifa tulipofika kibo wakapata altitude sickness mbaya sana. Ukilanda polepole mwili unakuwa unaadjust vizuri zaidi, route ya siku nyingi ndo nzuri zaidi kwa sababu hiyo hiyo mwili unapata muda kuadjust.
 
Nataka kuvunja record kupitia huu mlima.

Hivi kuna mtu amewahi kupanda kifua wazi?

Je nitaruhusiwa?

Baridi la kileleni ni nyuzi joto ngapi?

Or any ideas zakuniwezesha kuvunja record.

Usisahau kuandika na urithi kabisa
 
Glaciation, avalanches... Pia barafu inaumiza macho mchana! Inang'aa sana. Hakuna miwani(tinted) yakuzuia miale mikali ya barafu.

Thanks kwa ufafanuzi wako mkuu.
I guess avalanches ni hatari zaidi.
Sisi tulichelewa kufika hadi kwenye saa 4 tulikuwa uhuru peak bado.
 
Hata Mtanzania anaweza kwenda polepole na kuona vizuri mlima, maua na kadhalika.

Sema tatizo ni gharama.

Kila ukikaa zaidi mlimani, unalipa zaidi kama ulivyoonyesha katika post yako.

Nitajipanga mwakani tujipange kama wawili au watatu twende kitalii zaidi.
 
Yes, I was a 10th grader in 1987.

However, at IST, that's form three not two like in TZ system, since we have 8th grade as equivalent of form one.

Duh miaka hiyo hata sijazaliwa. Duh!!
 
Back
Top Bottom