Richard Aloyce Kastai,ndie mtanzania wa kwanza kuvunja Recodi kufika kilele cha mlima kilimanjaro (kibo) kwa mfupi!!Ndio mimi Richard A.Kastai
Kuna kitu kimeliwa na kirusi au imekuwaje?
Naona sentensi siielewi.
Nilipanda 2005 kupitia njia ya kilema - maua.
Nilipanda mwaka 1987.
Njia ya Marangu.
Ni njia rahisi kupanda.
Siku 8. (Wanafunzi).
Mimi sijawahi hata siku moja.
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Mlima umo ndani ya nchi yetu lakini hata mawazo ya kufikiria kuupanda japo siku moja hakuna.
Itabidi nikienda Kilimanjaro safari hii Mungu akipenda na mimi nikatoe ushamba
Bila shaka ulipanda mlima Ngangu...otherwise kama ulipita hiyo njia kufika kibo inabidi hiyo route ipewe jina lako! Ni mpya na mgunduzi wake ni wewe!
Nilitumia njia ya kilema - maua mwaka 2005 wakati nipo o'level tukarudi kwa njia ya marangu getini.
Ilikuwa njia ndefu sana wakati wa kwenda kwasababu unafika Horombo huts badala ya Mandara.
Safiari ya masaa 12 kwa kutembea. Kesho yake tukaenda kulala kibo huts then usiku tukapanda kileleni na tukarudi kulala horombo huts. Siku inayofuata toka horombo hadi marangu getini.
It was a very bad experience kwa sababu tulienda kama wanajeshi. Ila natamani kwenda tena kama mtalii sasa.