Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 340
Nilipanda 2012 nilifika sehemu moja inaitwa barafu nilitamani kurudi chini sema niliogopa kurudi mwenyewe.
Hebu kumbuka vizuri ndugu. Ulipanda kwa njia ipi mlimani...labda ulipandia machame/lemosho/londros/mweka ndio ukashukia marangu.Kwanin unasema ni njia yangu wakati watalii wanapitia hiyo njia?
Unadhani zile nyumba zilijengwaje?
Materials ya kujenga horombo na kibo huts yalipandishwaje kule juu?
Ukipita ile njia unatokea Horombo huts unakuwa umeskip Mandara.
njia zenyewe ni hizi
Marangu route hii iko marangu
Nalemuru route hii iko rongai huko rombo mpakani na kenya
Umbwe route hii iko kibosho
Machame route hii iko machame
lemosho route hii iko west kilimanjaro
londorosi route hii pia iko west kilimanjaro
Unaongelea marangu ya getini au ipi?
Hebu kumbuka vizuri ndugu. Ulipanda kwa njia ipi mlimani...labda ulipandia machame/lemosho/londros/mweka ndio ukashukia marangu.
Materials za kujenga horombo na kibo zilipitia route ya marangu. Na ndio route pekee yenye nyumba/huts. Hizo route nyingine ni kulala kwenye mahema(tents).
Ni kumbukumbu nzuri sana katika uhai.
Kuna mtu aliniambiaga ukiwa kileleni,hata kama chini ni usiku but kule unamulikwa na jua.sasa sjui ni kweli au kamba ngumu???
Ni kumbukumbu nzuri sana katika uhai.
Kuna mtu aliniambiaga ukiwa kileleni,hata kama chini ni usiku but kule unamulikwa na jua.sasa sjui ni kweli au kamba ngumu???
Kukiwa na giza ni giza tu ila asubuhi wewe ndo unakuwa wa kwanza kupigwa na jua.
Ukiwa maeneo ya Gilmans point au kona ya wahindi unaweza kuona miji ya arusha, moshi na mombasa ila iwe usiku.
Hiyo ndo njia tulioitumia mkuu.
Labda wawe wameifunga siku hizi.
Ulitaka kuiona kwa wapi?
Ulitaka kuiona kwa wapi?