Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,235
unaniangusha sanaI appreciate that Mpendwa, ila fursa nyingine ni suicidal.
unaniangusha sanaI appreciate that Mpendwa, ila fursa nyingine ni suicidal.
palipoharibika panatolewa pazima panaliwa mama
Dan Cooper lete ndoano na tenga la kuweka samaki
unaniangusha sana
nn tena kua mpoleeaisee
...ona sasa,zee zima!!
acha tu niwe mpole we mtu umenishindann tena kua mpolee
Ha ha ha ha nmekushindwa kwa lip tena mama?acha tu niwe mpole we mtu umenishinda
kwa mambo yako tuHa ha ha ha nmekushindwa kwa lip tena mama?
Vipi ukiwa peke yako maana anayekuona hayupo?Uko vizuri sana na ata mi uwa naheshimu sana mahusiano pindi nikiwa na mtu uwa sitaki kurukaruka ovyo
Si tabia yangu kwa kweli! nna kinyaa ndo mana napenda kujitulizaHongera. Ndo inavyotakiwa
mie na wewe hatushindwan vp kwan wewe hujawah kuchepuka kwel toka moyoniiiikwa mambo yako tu
Hiyo inaitwa tangazo mbashara kudadadekiTangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Mungu ni mwaminifu atakunusuru ucijaliNilichepukaga enzi za u-boyfriend na u-girlfriend.
Lakini toka nimeingia kwenye ndoa,ni muongo mmoja sasa,sijachepuka na wala sina mawazo hayo. Namuomba Mungu aninusuru na mawazo hayo ya kishetani. Na aliyenioa si katika hao maboyfriend.