Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Mi niliwahi ila nilikuwa sipendi,hatimaye sasa nimeacha kwani hakuna cha maana nilichopata.
 
...ona sasa,zee zima!!
..wenzio wenye akili wa umri huo wanawasaidia watoto wao kuumba herufi na kuimba,we unaanzisha thread ya kipuuzi JF!.,
..nonsense!
Usihukumu kabla hujahukumiwa.
Wewe ni nani hata umuhukumu mwenzio kuto kua na mtoto by 27 age?
 
nisichepuke kwanini wakati kesho yangu siijui, don't take life too seriously mwisho wa siku wote tutakufa enjoy the life while u can

kwanza kuchepuka kunapunguza stress eti
 
Nilikua muaminifu sana kwenye mahusiano yangu lkn nilivyoona mwenzangu anachepuka na me nkawa nachepuka kimtindo. Ila now tuko serious Kwnye mahusiano japo Hawa wanaume hawaaminiki.
 
nisichepuke kwanini wakati kesho yangu siijui, don't take life too seriously mwisho wa siku wote tutakufa enjoy the life while u can

kwanza kuchepuka kunapunguza stress eti
Hongera. Lakini hatujasema usichepuke.wewe chepuka tu
 
Usihukumu kabla hujahukumiwa.
Wewe ni nani hata umuhukumu mwenzio kuto kua na mtoto by 27 age?
Labda yeye ni mungu. Ukute hapo alipo yeye Hata wa kusingiziwa Hana. Na Kama kasingiziwa basi ni wa mwanaume mwenzie yeye analea tu
 
Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo aliekuwa mwanaume wangu wa kwanza na baadae niliachana nae. Sijawahi kuchepuka, baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu kuchepuka ni kipaji.

Je, wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka?

Kumbuka unaposema uongo. MUNGU anakuona!
anza hivi, mimi ni binti wa miaka x ambaye nimekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka y, na kwa muda wote huo sikuwahi kuchepuka!
unajua tunaweza kuwa tunajadiliana na binti wa 15 years ambaye hana hata uhakika kama bikr* yake ipo au huyo mwanaume wake kaitoa!
watu wenye umri mkubwa na walioko kwenye mahusiano kwa muda mrefu ndio wanaoweza kuzungumzia kuhusu kuchepuka!
we mtu unaujua muhogo mmoja tu, kwa wiki 2 halafu unazungumzia kuchepuka!
 
wtf...?? Jf inavamiwa na watu wanaosababisha tusiamininane
Msiwe wajinga wa kufikiri. Mwanaume anaweza kuweka picha ya kike.... Acheni utoto. Au mnataka wanaume waje wawatongoze???
 
Back
Top Bottom