Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

hata mimi sijawahi kuchepuka na siwazi kufanya hivyo na Mungu anisaidie
 
...ona sasa,zee zima!!
..wenzio wenye akili wa umri huo wanawasaidia watoto wao kuumba herufi na kuimba,we unaanzisha thread ya kipuuzi JF!.,
..nonsense!
Wote wanao anzisha thread. Ni wapuuzi???. Basi nawe mpuuzi. Maana umecoment kwa thread ya mpuuzi mwenzio. Nonsense
 
kama nikikurana na mwanadada au mwanamama anayemzidi my wife wangu vigezo naweza kushawishika kumuonja
 
Hiv ulishawah kuona Petrol station katikati ya barabara lazma ikae pemben ili uchepuke kidogo uendlee na safar.
mkuu hili jibu lako ni la kibabe hata ukimjibu mpenzi wako taratibuu anaingia chumbani akajibembeleze machozi

√√hili jibu lako ni la kufunga huu mjadalaa lakini kwa wabishii watabishaa
 
mkuu hili jibu lako ni la kibabe hata ukimjibu mpenzi wako taratibuu anaingia chumbani akajibembeleze machozi

√√hili jibu lako ni la kufunga huu mjadalaa lakini kwa wabishii watabishaa
we waache wabishe tu ila ukwel wanaujua kabisa
 
Inategemea na gari lako.kama gari lako likiishiwa mafuta, utachepuka. Wengine magari yao yako full tank. Mwanzo hadi mwisho wa safari
Hizo safari za karibu ukichepuka ni uzembe wako.
za mbali hata full tank ukikomaa,mafuta yanaishia porini ambapo
hakuna filling station,omba Mungu usikutwe na majambazi au wanyama wakali.
 
Labda kama full tank yako inatoka ubungo unaishia mbez ila kama safar ndefu ahaa kuingia petrol station muhimu
mkuu kutokana na jibu lake hapo, wale walo full tank ndo wale waliokuwa aged ..45 na kuendelea , ndo huwa full tank, lakini siye wakina VX doo, vituo viwili upo kwa sheli
 
Nilichepukaga enzi za u-boyfriend na u-girlfriend.

Lakini toka nimeingia kwenye ndoa,ni muongo mmoja sasa,sijachepuka na wala sina mawazo hayo. Namuomba Mungu aninusuru na mawazo hayo ya kishetani. Na aliyenioa si katika hao maboyfriend.
kabisa yani we ushakuwa full tank haina haja ya kuchepuka mkuuu, yani jina lako limesadifuu, uvumilivu tuuu
 
Ngoja nikuulize,wewe hujawahi kuchepuka au
ulichepuka mara moja ukaacha?
maana huyo mtu wako kama hakuwa mme wako wa ndoa
huo ulikuwa mchepuko maana tayari ulishakupa kitu
cha kulinganisha endapo utafanikiwa kupata kingine.

Omba usije ukakutana na mzembe wa kutoa
mambo ukaanza kumkumbuka yule wa kwanza
na ukawa mwanzo mpya wa kuchepuka.
 
Back
Top Bottom