Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

anza hivi, mimi ni binti wa miaka x ambaye nimekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka y, na kwa muda wote huo sikuwahi kuchepuka!
unajua tunaweza kuwa tunajadiliana na binti wa 15 years ambaye hana hata uhakika kama bikr* yake ipo au huyo mwanaume wake kaitoa!
watu wenye umri mkubwa na walioko kwenye mahusiano kwa muda mrefu ndio wanaoweza kuzungumzia kuhusu kuchepuka!
we mtu unaujua muhogo mmoja tu, kwa wiki 2 halafu unazungumzia kuchepuka!
Ulitakaje kwa mfano.
 
Labda yeye ni mungu. Ukute hapo alipo yeye Hata wa kusingiziwa Hana. Na Kama kasingiziwa basi ni wa mwanaume mwenzie yeye analea tu
Mbona una maneno ya hovyo hivyo? Wewe umeshaleta tangazo na wajumbe wameshaelewa. Subiri application.
 
watu wanao anzishaga mada kama hizi ndio sio tu wachepukaji bali wanawekea lami michepuko yao,mabingwa wa kupiga nje na kuleta ukimwi kwenye ndoa.

eti mi sichepukagi...wewe Mungu anakuona
 
Ulitakaje kwa mfano.
sema una miaka mingapi (umri wako wa sasa)
ulikuwa na mahusiano kwa muda gani?

muda ktk mahusiano ni factor ya msingi ktk kuchepuka!
kujua /uzoefu ktk game nayo ni factor maana ukipewa game sub-standard unajua unacho-kimiss!
lkn ukiwa first timer unadhani hicho upatacho ndio kipimio kwa wote, so kwanini uchepuke, lkn siku ukila hogo, then ukaenda kwa kibamia, halafu ukija wastani then utasema kama una uvumilivu au la!
 
Miaka ya nini
 
Ila kuingia kila kituo cha mafuta unachokutana nacho hapo mbele kunapoteza malengo sana
hilo kama utakua unajaza mafuta ya elfu kumi dawa ni unatafuta kituo kimoja matata sana unajaza full tank ukitoka hapo unaenda km 500 hivi
 
Back
Top Bottom