NonsenseWanawake wana akili bhana.....check jinsi habari ilivyoletwa.
nilishawahi kuchepuka sasa hivi nimekua mtto mzurihapana kwa kwel mie ntakuamin tu ukisema YES or NO
Bas sina swal la nyongeza mungu atakusamehe dhambi zako kwa kuwe mkwel uende ukatubu ehee mamanilishawahi kuchepuka sasa hivi nimekua mtto mzuri
hahahhah sawaBas sina swal la nyongeza mungu atakusamehe dhambi zako kwa kuwe mkwel uende ukatubu ehee mama
Nilichopost na ulivyojibu, umefanya dhahania kuwa kweli......Sasa subiri matokeo.Nonsense
Kuleta swali hili humu ndani naweza kufananisha na kutafta bikra katika wodi ya wazazi pale mwananyamara!
Mimi enzi za kuchepuka nlipataga bahati mbaya sana maana nakumbuka nlipokuwa na dada flan nlichepuka matokeo yake yakawa mimba na yule dada akanipiga chinni,nikiwa tabora nikapata mtoto flan ambaye nlitaka kujenga nae future so nkamweleza huu mkasa na nkamuahid haitotokea tena akanielewa ila ajab nlichepuka kidogo na nlipoenda ikatokea mimba tena napo nikaachika yan mpaka leo naogopa kuchepuka hatar na nkichepuka sijiamin kabisa yan kias kwamba hata salama siliamin nahsi zinaeza pasuka katikatnya match inabid nitumie angalau rough rider yan!
Matokeo yanatoka mwaka ganiNilichopost na ulivyojibu, umefanya dhahania kuwa kweli......Sasa subiri matokeo.
hamjui mnachotaka tatizoSisi mbona tunataka upendo wa dhati tu
bahati mbaya waliotulia kweli ndo wanapata vipanga balaa.Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo aliekuwa mwanaume wangu wa kwanza na baadae niliachana nae. Sijawahi kuchepuka, baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu kuchepuka ni kipaji.
Je, wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka?
Kumbuka unaposema uongo. MUNGU anakuona!
Mimi nimesifu jinsi habari ilivyokuja creatively.....wewe unajibu nonsense?Nonsense
Kwelibahati mbaya waliotulia kweli ndo wanapata vipanga balaa.
...miaka 27 na akili hizi!?..,utakuwa na kifaduro cha ubongo!Wote wanao anzisha thread. Ni wapuuzi???. Basi nawe mpuuzi. Maana umecoment kwa thread ya mpuuzi mwenzio. Nonsense
KumbeKuchepuka muhimu ili kujenga mahusiano yaliyopo.
Mungu akubarikiMimi na muheshimu Mungu hivyo kuchepuka kwangu ni mwiko
Amen...miaka 27 na akili hizi!?..,utakuwa na kifaduro cha ubongo!
..R.I.P