Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Kama uliruhisiwa. Naweza sema ruhsa.. Ila sijui Kama ni kosa au sio kosa

Sasa nyie hampendi wenzenu wachepuke na wakati huo huo unalala umevaa kaptura ili mwenzio asikuguse(yaani unambania)
 
Ukiona huchepuki hujiamini !
Unawaza ukichepuka utaonekana kasoro zako kwa hio itakua noma.... tena usishangae hata wakati wa mambo yetu lazima uzime taa
Najiamini 100%na Sina kasoro. Ila kuchepuka sio kipaji changu
 

Mpendwa hunitakii mema mwenzio. Unaona kabisa kuwa ni Super Women(sijui wako wangapi), halafu ni revised version(2).....

2af4326a40600637814c35f50a94d1d1.gif
 
Ndoi nipo single. Kwani ukiwa single muheshimiwa makonda atakuita central.. Ndo kidogo ningetishika kutaja kwamba nipo single. Pigia msitari

Siyo issue, ila ukiwa single sidhani kama kuchepuka ina - apply.
 
Ila siku nikiamua sasa kuingia kwenye mahusiano ntakuja na BANGO KUBWA. NATAFUTA MCHUMBA.......
Na hiko ndicho unachokimaanisha kwasasa,
anyway subiri wanakuja pm, na ukimpata ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom