AmenAmen,atubariki sote.
Nimechepuka na kuna uwezekano nikaendelea kuchepuka.msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
msema kweli mpenzi wa mungu. Kwa ukweli wako huo. Utaingia peponi mkuuKabisa [HASHTAG]#ladyAJ[/HASHTAG]Hakuna faida ya kuchepuka zaidi ya hasara na jakamoyo! Tulizana

Nipo single,Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu

Kwa hiyo wote ambao hawachepuki hawana sifa za kuwa michepuko?????Hujawahi kuchepuka kwa kuwa huna sifa za kuwa mchepukoooo![]()
![]()
![]()
![]()
Hilo tangazo lako la kutafuta mwanaume umelipia???Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo alie kuwa mwanaume wangu wa Kwanza na baadae niliachana nae.
Sijawahi kuchepuka,baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae...na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu.. Kuchepuka ni kipaji.. Je wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka... ???
Kumbuka unaposema uongo.MUNGU anakuona![]()
Ila siku nikiamua sasa kuingia kwenye mahusiano ntakuja na BANGO KUBWA. NATAFUTA MCHUMBA.......Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Miiaka 3 nayo umeona mingi sanaSipo kwenye ndoa. Na nilikuwa kwenye mahisiano ya Kama ya mda wa miaka 3.
cc Dan CooperTangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Story yako kama yanguMsema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo alie kuwa mwanaume wangu wa Kwanza na baadae niliachana nae.
Sijawahi kuchepuka,baada ya yeye kuwa na tabia za kuchepuka nikaachana nae...na sitakuwa mchepukaji hata nikiingia tena kwenye mapenzi katu.. Kuchepuka ni kipaji.. Je wewe unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mmoja bila kuchepuka... ???
Kumbuka unaposema uongo.MUNGU anakuona![]()
BADO SIJAJA NA TANGAZO LA KUTAFUTA MCHUMBA. lisubirie mpaka January /2018 huenda nikalileta hapa.Hilo tangazo lako la kutafuta mwanaume umelipia???
Hata Kama ningekaa kumi.Miiaka 3 nayo umeona mingi sana
Kwa hiyo wote ambao hawachepuki hawana sifa za kuwa michepuko?????
Vizuri joanahStory yako kama yangu
Kama uliruhisiwa. Naweza sema ruhsa.. Ila sijui Kama ni kosa au sio kosaMimi mke wangu aliniruhusu mwenyewe baada ya kuona muziki hauezi !
Je hapo nina kosa ?
Msema ukweli mpenzi wa MUNGU. Nilishawahi kuwa kwenye mahisiano na mwanaume mmoja na ndo alie kuwa mwanaume wangu wa Kwanza na baadae niliachana nae.