Kichuguu,
Umeandika:
"Tatizo letu nadhani ni uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu. Tunataka tuambiwe majibu yanayoendana na mawazo yetu tu; tunashindwa kunyofoa habari tunazotaka kutoka kwenye rundo la habari. Haya ndiyo pia matatizo ya viongozi tulio nao Tanzania ambao pia hawachambui habari na ndiyo maana wakipewa mikataba hawaisomi"
Jitahidi sana kuto ku question abilities za wana JF kwasababu huwajui na haina maana kwamba kama wewe ni researcher basi una tofauti na mwana JF mwingine yeyote. Kinachoendelea hapa ni mapambano ya principles, ni mapamambano ya misimamo ambayo hii JF inatakiwa ifuate huko mbele. Kinachoendelea hapa hakina uhusiano wowote na uwezo wa kuchambua mambo au kutokuwa na uwezo wa kuchambua mambo.
Kiongozi yeyote akiwa na scandal, hapa JF lazima aulizwe maswali tena sio on his own terms huo ndio msimamo wa baadhi yetu. Kundi lingine linaona ngono ni mambo binafsi, sil lazima zijadiliwe hapa. Kuna kundi lingine ambalo linaona Zitto kuwa hapa ni bahati kwa JF kwahiyo tumpe heshima hata pale anapokuwa na makosa, tumpe muda atakapokuwa tayari aje atoe msimamo wake.
Hayo yote ni mapambano juu ya visions za JF. Wanaoandika kila mtu amefanya uchambuzi wa kina kwa uwezo wake. Sasa, kuanza ku question uwezo wa hao watu naona ndio arrogance hizo hizo tunazozipinga hapa.
Kama mnataka mashindano ya kuchambua hoja, anzisheni thread nyingine na tutakuwa tayari huko huko kushindana kwa hoja.
Kwa upande wangu kama alivyoandika hata mzee ES na wengine wote, kinachonisikitisha zaidi ni hili la kujaribu kuzuia watu waache kuuliza maswali, au waache kumjadili Zitto kwasababu tu eti amesema atakuja kujibu on his own terms. Toka lini watu wakazuiwa kujadili au kuuliza maswali hapa JF?
Waacheni watu waendelee kujadili na msianze ku question abilities zao wakati hata watu wenyewe hamuwafahamu. Kama mtu huna la kuongezea kaa kimya na mjadala utaendelea mpaka watu watakapochoka wataacha wenyewe.
JF ina sheria zake, kama mtu amekiuka hizo sheria ndio apewe warning au kuadhibiwa. Lakini sio kwasababu wewe huoni faida ya baadhi ya maswali kuulizwa basi uanze kuwaambia wana JF wengine wasiulize.
muhonga.you know what? I'm beginning to like you mswahili! Nimechelewa kulala kwa sababu nilikuwa nasubiri jibu lako. You are quite a character, ndio maana sikubaliani kabisa na watu wanaotaka ufungiwe au nini. Unapachangamsha hapa sana. Kwanza hujakana kuwa una "manly crush" on Mwanakijiji na unapiga maneno ya kina Elton sijui kina nani isipokuwa kukiri feelings zako mwenyewe kwa mwanamme mwenzio. Kwa vile unajua mambo haya yanatokea na kwa haraka unaweza kupata site zao (you are really preoccupied with ugay) basi sisi sote tutaendelea kukusikiliza na itakuondolewa stress isiyo ya lazima ukiamua kutoka hadharani (come out).
Kaka wewe kubali tu yaishe. NImeangalia jibu lako hapo juu na kile nilichokuwa nawazia utafanya ndio umefanya na hivyo kuendelea kuthibitisha kuwa huwezi kuandika malalamiko yako mengi bila kumtaja "mwanakijiji". Kwenye jibu lako hapo juu umemtaja mara 13! Hii si kawaida, bila ya shaka popote unapokwenda hilo jina haliko mbali.
Muhonga.
Nimejaribu kutafuta nione mahali popote hapa hadharani ambapo mwanakijiji ametaja jina lako hivi karibuni. Hakuna. Sijui mara ya mwisho ilikuwa mwezi gani, lakini wewe kila ukiingia naona mawazo yako ni "mwanakijiji,mwanakijiji,mwanakijiji". Nakushauri uache kusikiliza radio yake inawezekana sauti yake inakuharibu!
Kwa niaba yangu na ya memba wengine naomba ujitangaze hadharani tu ili tuyamalize kuwe mwenzetu ni timu "ile" na wasiliana na mwanakijiji chemba myamalize.
Asante.
Bi thumni unanifurahisa kweli kweli jinsi unavyomwaga psychology; in fact jamaa huyu ametaja "mwanakijiji" kama mara 17 hivi; very interesting.
you know what? I'm beginning to like you mswahili! Nimechelewa kulala kwa sababu nilikuwa nasubiri jibu lako.
Mzee Amin,
Heshima mbele mkuu, acha hii topic hapa mkuu mbona imekaa karibu wiki mbili hakukuwa na noma, yaani toka jana tu ndio imekuwa haifai kuwepo hapa?
Iache itajifia yenyewe!
Ahsante Mkuuu!
Kichuguu.
******** ni wewe usieweza kutuma post 2 bila kutaja "wakati nafundisha pale mlimani" huo upumbavu wa hali ya juu. Nani anataka kujua hilo? Why keep repeating it so many times? pumbafffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!
Kaka Masatu.Kichuguu.
******** ni wewe usieweza kutuma post 2 bila kutaja "wakati nafundisha pale mlimani" huo upumbavu wa hali ya juu. Nani anataka kujua hilo? Why keep repeating it so many times? pumbafffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!
ES,
I am disappointed by some posts in this topic. Sikutarajia watu wanaweza kuwa na kauli chafu kiwango ninachoanza kuona. Naamini ni w/end tu ndo inasababisha haya. Na leo ni mara ya kwanza w/end kuwepo mimi hapa maana nakuwa kwenye mizunguko mingi kimaisha.
Alichoongea Masatu kimeni-shock sana!
See:
Huu si uungwana na hoja za namna hii mnajua adhabu yake. Sijafurahishwa na naamini watanzania wengi hawajafurahishwa na majibu kama haya. Nadhani tuangalie impact ya hasira zetu over wengine... Neno 'upumbavu' linaweza kuwa na maana mbaya linapotumika kimkazo na msisitizo mkubwa. That's what's within this post.
Sijui nimhukumu nani au nichukue hatua gani??? I'm feeling ashamed for bringing this topic back!
Nashangaa sana sasa unaposema kuwa nimekuzuia kumwuliza Zitto maswali uliyotaka kuuliza, na kuwa nimetetea upumbavu; nikasema Mungu wangu, uzee wangu wote huu nitetee upumbavu hapa kwenye forum. Pamoja na kwamba baadhi ya wafuasi wako kama Masatu na Mswahili walikuwa na majibu ya kipuuzi sana, napenda kukumbusha kuwa kuwa tulikuwa tunajabdili mambo ya bunge, na wewe ndiye uliyeuliza swali la kwanza kuhusu swala hili na vile vile kuwa umefunga kuwa umekubaliana na jibu lake.
Kaka mswahili,
There's no more politics in this topic as it started! Imeanza kuibua 'bifu' ambazo si dhamira ya JF.
Kauli za kumalizia hoja kwa msisitizo wa PUMBAFFFFFFF!!!!!!!! ni kuonesha kufikia hatu mbaya na kukosa uvumilivu katika hoja.
Huwa sina rafiki ninapofikia maamuzi. Guess what, hata Mwanakijiji anaweza kukumbuka nshampa warning mara ngapi, Mkandara same and even Murangira. Ni wajibu wangu kutoa tahadhari ninapoona tunaenda visivyo. I do respect you bro mswahili lakini nawe ukianza kutoa hoja za PUMBAFFFF naamini utanichukia bure... Napenda tujibizane kiutu uzima sio kudharauliana au kukashifiana kizembe.
Kumtupia mtu dongo kunawezekana lakini kwa njia mbadala sio ya wazi namna hii! Hope nimeeleweka.
Am out on this