William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
.kwanini achaguwe kuongea na gazeti moja tu tena la chama chake?
Zitto aje kujibu maswali ya wananchi hapa forum, Malecela, Lowassa, na the rest wakitembea na mbunge mwanamke ambaye ni mke wa mwananchi na kusababisha mke kupewa talaka, Spika kuhusishwa, na mpaka waziri wa serikali kuhusihswa, ni wajibu wao kujibu maswali ya wananchi, hakuna exception kwa Zitto, na Chadema au forum, ni NONESENSE!
Tunachotaka kujua ni moral authority, ya kuwa kiongozi na kuwakemea viongozi wengine hapa forum mheshimiwa Zitto anaitoa wapi baada ya kushutumiwa na kesi nzito kama hiyo, ya kusababisha mke wa mtu kuachwa kwa sababu yake, akiwa kiongozi wa wananchi?
Malecela ana watoto kama walivyo viongozi wengi wetu na wananchi pia, sidhani kama hiyo ni ishu kama ambavyop unataka kuihusisha na na hii ya uzinzi wa mbunge na mbunge, na kusababisha, mke wa mwananchi ambaye ni mmbunge kuachwa, good try lakini hakuna mjinga hapa wala mtoto mdogo, na sijui form here on hiyo authority ya kukosoa viongozi mnaitoa wapi tena, maana hakuna tena, wote tumekuwa wasaniii tena big time!
Ninarudia kuwa Mbunge Zitto, aje hapa kujibu maswali ya wananchi ili kulinda heshima ya forum! Malecela has nothing to do na this!
Kichuguu.
aliogopa nini kufanya press? mbona alikuwa na spidi kumkanusha rais kwa kuita mkutano wakati huo huo.? hili la ugoni ndio anaomba apewe muda.
umesema magazeti yaliandika. si kweli sema liliandika gazeti la chadema tu-Tanzania Daima, tena baada ya mwezi mzima. utapata picha kamili kuwa Tanzania Daima ni gazeti la kukampenia Chadema possible kabisa ile story ilipikwa. kwanini achaguwe kuongea na gazeti moja tu tena la chama chake?
ni sawa na kuomba kazi halafu unaulizwa reference unaleta toka kwa mkeo au mumeo. ilitakiwa taarifa itoke kwenye independent gazeti. si Tanzania Daima wala Uhuru. Tanzania Daima lilisema tumeongea nae kwenye simu tu kwanini hakwenda ITV,TVT,Majira.mwananchi n.k?
nilisema huko nyuma kuwa siri ya ugoni ni uoga na kuchanganyikiwa hadi urudi kuwa normal inachukua hadi miezi mitatu. ndio sasa anakuja kupitia mlango wa nyuma.
nakupa kisa cha mhalifu ndiye mara nyingi anaogopa na kuchukia vyombo vya sheria au polisi. mtu kama si mhalifu utaogopaje polisi? Kwanini ZItto aogope ukumbi wa habari-maelezo?kwanini asiyapeleke mahakamani magazeti na watu waliochafua jina lake? kwanini amvalishe koti mke wa mtu na hili hadi gazeti la chadema liliandika. jee kuna uhalali gani wa yeye kuvaliana nguo na mke wa mtu?
kichuguu,Zitto,Bi sent 50, TN na wana chadema wote nasema I CAN'T BUY YOUR STORY!
Ina maana wakitembea na wake za wengine (wakiwemo wake za wasaidizi wao) lakini sio wabunge ama mawaziri wenzao sio kosa? Ama wanapozaa nje ya ndoa zao nalo sio tatizo. Ama wanaposarandia na wakati mwengine kutembea na wabunge ama mawaziri wenzao wasio olewa sio tatizo. Ama wanapofanya ule uchafu mnaoita thresome na watoto wa wapiga kura wao na kuchukuliwa video na wajanja sio makosa. Ama wanapotembea na watoto wa wapiga kura wao katika shule zetu na vyuo vyetu vya elimu ya juu na kuwabambika madudu yao na kuwaharibia umakini wao katika elimu sio makosa?
Hongera kwa kuongelea MORAL AUTHORITY kaka....
Mzee ES naomba nijibiwe...
Tanzanianjema
Mwanakijiji.
Zitto kavunja ndoa ya watu si jambo binafsi. kuna mtoto anahangaika hivi sasa kwa tamaa ya ngono ya Zitto.
kama kuna kiongozi kavunja ndoa mithili ya huyu kiongozi wako wa chama mtaje tumjadili. Zitto hajawahi kukanusha ugoni wake na hakuna anayemlazimisha kuja kukiri hapa.
atakuwa mwendawazimu kuja kusema kweli nilifanya uhalifu. ndio maana unaona magereza yamejaa wahalifu kama Zitto sababu hawataki kukiri makosa yao. wewe hujui mrundikano wa kesi za watuhumiwa mbalimbali?
inachukua hadi miaka kukiri makosa au kukutwa na hatia. Zitto ni kiongozi wa wananchi. mwenendo wake ukiwa mbaya unaathiri taifa. kama kaiba mke wa mtu anaogopa nini kutuingiza kwenye mikataba ya bandia unayokesha kuilalamikia?
unasema unaandikia KULIKONI hilo ni gazeti la wachagga wale wezi wa TRA. kwa kiswahili chepesi umeruka mkojo na kukanyaga mavi.
Mwanakijiji umekuja juu na kulalamika kwa Ridhwani Kikwete kuchukua fomu. jee yanatuhusu nini hayo kama si mambo binafsi? au wewe ulipolazwa hospitalini kipindi kile umetahiriwa ulikuwa na ulazima gani kutuwekea kwenye podomatic yako na kutueleza jinsi madaktari walivyokushughulikia na ukaweka picha ya hospital ya marekani, hukuona lile ni jambo binafsi unatuletea kiwe nini kwetu?
Zitto ni MBUNGE na Ac ni mbunge wote wanawajibika kwetu. na wanakula kodi zetu kuathiri utendaji wa mmoja wao ni kulisaliti taifa.
Suala lako la uchadema halina siri, mtizame Mkumbo alivyo makini wakikosea anakubali na anasema hiyo ni learning process huyo ni kada ambaye Mbowe halali bila kuongea nae na ndio aliyemshauri mwenyekiti wako kusoma kama alivyomsaidia Zitto kupata nafasi Udsm pamoja na maksi zake chafu, lakini wewe hata Mbowe akiwa na makengeza utakataa.
Umekuwa ukisema na kuwapakazia wenye phd feki, jee huoni hilo ni swala la binafsi? Phd ni ya Nchimbi sisi inatuhusu nini? na mmekuwa mkiwashutumu watu mbalimbali kuwa wana phd feki. mbona wenyewe hawajakubali kuwa wana PhD feki, mbona mnawalazimisha wakubali utashi wenu kuwa wana phd feki?
Mwanakjj hapa umefeli kuja kumkingia kifua Zitto kuwa ni private life.
Suala la mama yake limeingia kutokana na mama yake kuwa na tabia mbaya kama Nigerian wanamwita 419. Usitegemee mtoto wa 419 asiwe 419.
nimesema kuwa kama hamuamini msubiri siku akifa mama Zitto utaona watu wanakuja kuzuia jeneza kutaka walipwe vyao.
Source Mwanakijiji.podomatic.com HUKO ndiko tuliambiwa.jaribu kuwa unapitia na redio ilifungwa hadi alipomaliza kujiuguza.mie sikosi huko kila week tunapata vitu moto moto.Heee!! Ina maana Mwanakijiji alikuwa govi hadi hivi majuzi tu? Hebu tueleze mwenzetu wewe ulijuajuaje kuhusu hilo
Source Mwanakijiji.podomatic.com HUKO ndiko tuliambiwa.jaribu kuwa unapitia na redio ilifungwa hadi alipomaliza kujiuguza.mie sikosi huko kila week tunapata vitu moto moto.
Tanzania njema.
Kama mbinu hiyo ilimsaidia.ilikuwaje lilipokuja suala la Rais akabadili mbinu bora na kufuata ya DR.Salim ambayo umesema ni bomu? sinunuwi story kienyeji hivyo. muuzie Mwanakjj na hili hata Mkumbo hanunuwi story hii. sorry mkuu.
Hakuna flu ya kulazwa wiki tatu. unapewa dawa unaenda nyumbani. bi Sabaha Muchacho anasema fumbu mfumbie mjinga mwelevu...Lakini si alisema alilazwa kwa vile alipata flu.....sasa hii ya kutahiriwa govi imetokea wapi tena?