Wandugu nimepatwa

This time umepona kwa hizo nechuro bodi hiling, kwa kuwa umebainisha kuwa maombi ni muhimu sana neksti taimu ukipigwa na malaria kimbilia kwa mwingira.
NIMEJIONGEZA KIDOGO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha eti Gagula, hili jina lilitokana na kile kitabu cha bwana Makhumazahn
Mashimo ya Mfalme suleman

Mkuu;
Vile ndo vitabu, Umslopogaazi na shoka lake, dah! Elim, elim, elim. Wameitia maji hadi imekuwa majiiiii
 
wel come back jr
 
Mkuu;
Vile ndo vitabu, Umslopogaazi na shoka lake, dah! Elim, elim, elim. Wameitia maji hadi imekuwa majiiiii
Yaani we acha tu unasoma kitabu kama unaangalia move vile.

Inkosikazi.
"Nani aliye tayari kuibusu Inkosikaz? , ambaye madhara ya kuhusu kwake ni kupotea kwa shingo"
"Wakowapi walikuwa wanaipandia ngazi kuu? U wapi ewe Makhumazahn?"

Sichoki kusoma hivi vitabu kwa kweli.
 
Dah.... Pole Profesa mshana jr ...maana minong'ono iliisha anza humu....kupatwa si jambo la mchezomchezo... [emoji13] [emoji13]
 
Bora umerudi kuna ka mbebez kanaitwa lusungo naomba ukatumie radi ya sh. 150 tu kajue kuheshimu kaka zake hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…