Wandugu nimepatwa

Hahahaha, dah nimecheka sana.

Kaka mkubwa karibu tena jukwaani
Kwa taarifa fupi tu kutoka magogoni ni kwamba tumempoteza kamanda Muwongo muwongo yule wa mtaa wa Escow
Bado wawili
 
Pole Sana Bro, kumbe Uzi wangu ulikua na hisia za ukweli ndani yake, Mungu akusimamie.
 
Pole avaee. Ila mshana jr, umetuaibisha. wazee. Hata siku moja usiwaambie watoto yaliyo kupata usiku. Wataogopa mno. Humu jf waliisha kukuchagua kulwa gaagula wao sasa umewaambia kuwa na weye kuna top! Dah! Au ni MziziMkavu?? Tuambie tujue huyo alokuzidi. Natangulia kulee Jipe ziwani unikute huko. Lazima nguvu iongezwe kwako wasikuonee.
 
Ukienda hospital inakuaje? Au ndo utapitiliza?
Kuna kijana hapa mtaani amefariki eti kwakua kapelekwa hospital, asingeenda hospital angepona, duniani kuna mambo....hiki ni nini? Agano? Ushirikina?
 
Mvua haikingwi kwa mikono kuna nyenzo zake maalum usipozitumia utolowana mpaka naniliu...hapo tutasema mvua imekupata

We jamaa najaribu kujiuliza jinsi utakavykuwa unawatesa wajukuu zako kukuelewa kwenye story za babu, maana kila ukiandika lazima mtu atumie kichwa kukuelewa.
 
Hahahaha eti Gagula, hili jina lilitokana na kile kitabu cha bwana Makhumazahn
Mashimo ya Mfalme suleman
 
This time umepona kwa hizo nechuro bodi hiling, kwa kuwa umebainisha kuwa maombi ni muhimu sana neksti taimu ukipigwa na malaria kimbilia kwa mwingira.
NIMEJIONGEZA KIDOGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…