Nililiangalia baraza kivuli la mawaziri lililoundwa na upinzani bungeni.. nikaassume endapo kama Dr. Slaa angepita hili ndilo lingekua baraza lake la mawaziri..
Msemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe,
Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: Lema
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Seladhini
Mawasiliano: prof Kayili
Makazi: Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Olenywa
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia
NB:- Kama kutakua na changes ni kidogo sana!.
Tujiulize viongozi hawa wangetufikisha tunakoenda?? Manung'uniko, migogoro, majanga, umasikini na kuzorota kwa elimu na mengine kama haya yangeendelea kuwepo au wangefanikiwa kuyakabili??..