Mundali
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 749
- 164
Kwa simple minded haamini hivyo, anaamini kuwa awezaye kuwa rais ni mtu wa kufikirika pekee. Learn on me, "rais aweza kuwa mtu yoyote, kwani rais ni mtu kutoka kwa watu, aliyepo kwa sababu ya watu. Hivyo yoyote kati ya hao watu ambaye ni mtu yoyote aweza kuwa rais". Kinyume chake ni kwamba rais hawezi kuwa mtu yoyote!!!!! Kama ni kinyume chake basi rais asiye mtu yoyote kati ya watu wake ni nani huyo? Labda jiulize swali jepesi mno, hao watu waliopata kuwa marais, walizaliwa marais? Miaka 20 nyuma mliota kutakuwa na rais aitwaye JMK? Baada ya nchi kupata uhuruiliwahi kuotwa kwamba mwaka 1995 Ben Bill Mkapa angekuwa ndiye rais wa 3?Mh!.. Unaamini mtu yoyote anaweza kuwa Raisi!?...
Kifupi hata mimi naweza kuwa rais panapo majaliwa.