Wanaweza wasimfanye kitu ila wakamwacha hofu immalize

Kuna sauti zinawaandama

Yule Mwanaasha huru yule wampeleke Jela tu akaolewe na kazi ngumu.
Huyu Makenika ambae pia ni Dereva huyu auwawe tu aisee. Kwa Imani yangu kuuwa ni Dhambi kubwa, lkn Kwa yule jamaa na auwawe tu ntawaombea Msamaha Kwa Muumba wataomtoa roho. Kwa mujibu wa Wanyamwezi wanasema kadhulumu sana nafsi za watu, wakati umefika wa nafsi yake nae kuondolewa.
 
Binadamu hatuogopi giza bali tunaogopa kilichomo ndani yake and that’s FEAR
 
Lakini mbona kama mwenyewe hana hofu kabisa na amesema pale mwishoni, ''ukiona maji yametulia ujue kinakilefu (akimaanisha 'kina kirefu' bila shaka)''.

Au anamaanisha nini pale?!!!!

Nje ya mada:
Bado naamini Makonda atamsaidia sana mama,......mama mpe nafasi makonda, atakusaidia sana!!
 
Scary
 
HOFU ni kitu kibaya mno.. Hofu inaua hofu huleta woga, woga huzaa wasiwasi, wasiswasi huleta mashaka na mashaka huzaa mishtuko hata ukisikia yai limevunjika utajua tayari wamefika... Mwisho wa siku unaumba lijitu linalotisha sana
Litakutisha ukitaka kula litakwambia pengine wameshakuwekea sumu
Litakutisha ukitaka kulala
Litakutisha ukiota ndoto
Litakutisha simu ikiita
Litakutisha ukitaka kuangalia habari ama kutazama taarifa mbalimbali mitandaoni

Ukitaka kutoka kwako utajistukia kuhusu gari yako, litakwambia hata hii wanaijua
Nje ya geti lako ama karibu na hapo ukiona mtu kasimama ama gari imepaki litakwambia wanakufuatilia.. Unakosa amani moyoni na unakosa imani hata kwa mtu wako wa karibu kabisa

Nina mifano miwili ya HOFU
Mzee wangu Nanaila Kiula..! Sijui yuko wapi sasa
Wakati wa awamu ya rais Alhasani Mwinyi alikuwa waziri wa ujenzi.. Ikatokea tenda ya kujenga/kuboresha barabara ya Morogoro kuanzia Ubungo nadhani mpaka Moro na Chalinze mpaka Segera hivi (kumbu kumbu zinanipotea)

Kwenye ujenzi ule ukafanyika ufisadi nadhani ndio ufisadi mkubwa wa kwanza wa ujenzi kufanyika.. Barabaraba ile ikafinywa kila upande nusu mita.. Kwa ukubwa wa ule mradi hayo yalikuwa ni mabilioni ya pesa

Alipoingia Mkapa alianza na akina Kiula na wenzake.. Wakakamatwa na kupandishwa kizimbani.. Kesi ilienda kwa muda mrefu sana sina kumbukumbu sahihi kama Kiula alishinda ile kesi ama aliachiwa tuu.. Lakini baada ya hapo aliishi maisha ya hofu kubwa.. Akawa ni mtu wa kujistukia na kumkimbia kila mtu..!

Mano wa pili
Awamu ya nne kuna watu walipiga pesa ndefu sana kwa njia za mkato.. Jamaa yetu mmoja alikuwa ndio mbebaji kwenye moja ya ishu za upigaji.. Yeye ndio alikuwa anatumwa kuchukua na kugawa kwa wahusika
Baadae wahusika wakaanza kuskamatwa mmoja baada ya mwingine.. Huyu jamaa yetu naye alikuwa kapiga ndefu sana akawa na mali nyingi tu hapa mjini.. Sasa aliposikia washika dau wameanza kunaswa akaanza kuishi kama digidigi, akawa kazitawanya gari zake maeneo mbali mbali ya mji hivyo safari moja ya Gongo la mboto anaweza,kubadili magari mara mbili, kulala kwake ilikuwa kuanzia saa nane usiku na alikuwa ni mtu wa vibar vya vichochotoni kwenye giza

Kuna mtu ameshathibitisha hofu yake..ameshindwa kuficha hisia kaamua kuongea.. Anatafuta huruma lakini pia kujivua lawana nakuonesha anaonewa.. Amajitabiria yajayo..HII NI HOFU ILIYOMJAA..
Hofu na woga vilivyotamalaki na asijue kwa hakika ni nani hasa atammaliza.. Anataja makundi ya watenda maovu kama ndio wanaomtafuta... Lakini anasahau makundi ya aliowaumiza na kuwatendea vibaya.. Ambao hawakuweza hata kujitetea mbele yake..

Wahudumu wa chumba cha wafu wengi huwa walevi mbwa na kama wamedata hivi.. Sio kosa lao ni zile sura za wafu kule mochwari na yale yote yanayotokea kule huwafanya muda wote watake kutoa lock ili akili isiyawaze

Hakuna jambo baya kama kudhulumu uumbaji
Hakuna jambo baya kama kumwaga damu isiyo na hatia
Hakuna jambo baya kama kutesa na kutia kilema uumbaji wa Mungu
Hakuna jambo baya kama kudhulumu mali isiyo yako..
Ni mengi ya kuandika...

Kila jambo huwa na wakati wake... Kila ubaya una malipo yake. Na malipo yake si lazima yatokane na hao uliowatendea mabaya..kuna kitu kinaitwa karma! Haiongopi haikopeshi

Kwa jinsi alivyokuwa kajipenyeza na kuingia mpaka juu na ndani kabisa na 'kuaminiwa' kufanya mengi ni wazi wanajua anajua mengi.. Hawana haraka naye.. Ni mwendo wa timing.. Na kutiwa hofu. Wanajua wakijaribu..atamwaga mboga
Kilichopo ni kumpa hofu kila mahali.. Mwisho hofu ndio inakuwa kitanzi chake.. Soft killing...!
View attachment 2184692
Sukari inapanda.. inashuka. Presha nayo inapanda...inashuka. Halaf vyote sukari na presha vinapanda vyote kwa pamoja. Mara chumvi na sukari vinachanganyika sehemu moja. Kwaheri!
 
Psychological torture. Mkuu majuto hupelekea hofu ??
 
Mzee Nalaila Kiula nafikiri ni Almarhum...kama nakumbuka vizuri he joined his ancestors early this year!
 
Upo sahihi
Hofu itammaliza haraka kuliko kwenda mahakamani
Hatakuwa na hamu ya kula hatakuwa na hamu usiku uingie hatakuwa na hamu kukuche hatakuwa na hamu ya kabaki nyumbani au kuingia mtaani....
Hii ni adhabu tosha..

Kuna huyu mwingine mruka angani na chopa naye ameanza kuinua mabega muda si mrefu atafanana na huyu mtesi wake... sisiem wagumu kujifunza kuelewa wepesi kusahau..

Nchi ngumu sana
 
Ni suala la muda tu !
 
Nakumbuka aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa kama Sikosei Singida, na yule mwanamuziki Bwana Misosi aliwahi kumuimba kwenye ule wimbo wake maarufu "Nitoke vipi"
Alikufa akiwa maskini kabisa.. Utajiri kupitia dili za madaraka ya kisiasa mara nyingi haudumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom