Wanaweza wasimfanye kitu ila wakamwacha hofu immalize

Wanaweza wasimfanye kitu ila wakamwacha hofu immalize

Kwahiyo tuwaombee vifo vyema?
IMG-20220412-WA0064.jpg
 
Mkuu wewe kwa mfano unaweza kumshauri nini bwana makonda ambavo anajua aliharibu na ni muda wake wa kulipwa alichoharibu mana jamaa kwa ule ujumbe kule IG aisee dhahiri jamaa anaona kuwa kama sabaya soon akijaa tu kwene mfumo wa watalaam
 
Hofu...! Mashaka..! Woga...!

Kama hata kukumbia anaona Hofu…mashaka…Woga basi akae kwa kutulia tu yamkute yaliyomkuta sabaya basi maisha yaendelee af hawa wanasiasa wapuuz kwel wakiwa kileleni na v8 zao aisee huwa hawajari kitu wao hupita na vingola hata foleni tu hawazijui ila wakishuka sasa hivo vilio vyao kama wendawazimu hahaaa watulie tu hata cake ya taifa wanayokula ni kubwa ko wanapopata maumivu wawewanaringanisha na starehe walizozifanya huku sisi wengine jua letu mvua yetu….mwingine juzi kasema gari za kuanzia 2010 kurudi nyuma hazitakiwi kufanyiwa importation Tanzania,.sasa unajiuliza alifanya tathimini kwa kauli yake juu ya watanzania wanaolipa kodi kwa kupitia kuingiza hizo gari,katika ununuzi wa mafuta juu ya magari wanayo nunua hao watu dah basi ni huzuni kubwa sna mtoa tamko hata kodi halipi akinunua gari anasaidiwa kulipia huduma za mafuta na serikali ki ukweli hii inaumiza sana….,takwimu zinatoka kila mwaka juu ya watu wa tanzania kutokua na furaha na ni kweli kabisa hatuwez kuwa na furaha kuishi tanzania ni bora kuishi somalia kuliko kuishi nchi inayojinasibu kuwa na amani kumbe amani yenyewe ni ya kuigiziana
 
Mkuu wewe kwa mfano unaweza kumshauri nini bwana makonda ambavo anajua aliharibu na ni muda wake wa kulipwa alichoharibu mana jamaa kwa ule ujumbe kule IG aisee dhahiri jamaa anaona kuwa kama sabaya soon akijaa tu kwene mfumo wa watalaam
Kutubu hadharani kwa dhati ya moyo na kuomba suluhu na wahanga hata kama wengine hawapo tena! Atafute maridhiano ili amani yake irudi na awe na mwisho mwema! Swali muhimu je yuko tayari kujishusha na kufanya hayo?
 
Aende ukraine akamsaidie comedian, akiuawa atakua amekufaa shujaa na nchi itamuenzi, ni ushauri tuu
 
Kutubu hadharani kwa dhati ya moyo na kuomba suluhu na wahanga hata kama wengine hawapo tena! Atafute maridhiano ili amani yake irudi na awe na mwisho mwema! Swali muhimu je yuko tayari kujishusha na kufanya hayo?

Kwakwel nafikiri ndo atapata amani ya moyo lkn anawezaje kufanya jambo hili ikiwa bado yupo katika mfumo wa kishetani aisee yule jamaa inabidi hao hao shetaniwenzie wamuadhibu kama sabaya anavoadhibiwa na mashetani wenzie
 
Ni jambo muhimu sana hilo, ingawa bado dunia ni tambara bovu sababu kuna Mawatu hutafuta Watu hata kama huna ubaya nayo.

Kikubwa sana ni kuendelea kupalilia salio la uhai kwa mwenye pumzi akulinde kwa kila balaa.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Huwa napuuzia watu hususani kama naona ugomvi ni wa kijinga ila kama mtu anaenda extra miles kuniharibia, huwa nampa ushindi anaoutaka maana naamini ukiziba A nitapata B na nikishapata, utadeal na concious mind yako mwenyewe
 
Huyu jamaa kawazulumu watu wengi sana na kafanya mabaya mengi sana tofauti tunavyofikiri,sasa kila dakika akikumbuka roho yake inamsuta,sawa na huku kwetu mchawi aliyekula nyama za watu anapokalibia kufa lazima aweweseke
 
Kutubu hadharani kwa dhati ya moyo na kuomba suluhu na wahanga hata kama wengine hawapo tena! Atafute maridhiano ili amani yake irudi na awe na mwisho mwema! Swali muhimu je yuko tayari kujishusha na kufanya hayo?
Hii wataalam wa peace keeping and reconciliation tunaita Truth telling.......Aseme tu ukweli wa yote mabaya aliyoyatenda,na aombe msamaha kwa familia za wahanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom