Umetahiri?hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?
Nenda kaoge mto wenye mamba na viboko wengi.
hi!wanajamii forum!

:lol::lol:Umetahiri?
Nenda kaoge mto wenye mamba na viboko wengi.
Endelea kupiga nyeto tu, atakae kupenda hajazaliwa.
Hi wanajamii forum!
mimi ni mvulani mwenye umri wa miaka 30 na kila nikitongoza mdada ananikataa,na umri wa kuoa umeshafika nifanyeje?
Nahisi kuna sababu nyuma ya pazia..Hebu jicheck tabia zako..je haziwakwazi wanawake.?mfano inaweza kuwa wewe mvivu au mchafu au mgegedaji etc.Kama hapo upo fiti inawezekana ni yale mambo ya sex hayaendi vizuri(sifagilii sex before ndoa).Kama uko kote hakuna shida basi jicheki ur spiritual life ..may be una jini mahaba linawivu juu yako