Wanawake wote wananikataa!

Wanawake wote wananikataa!

Mwombe Mungu kwa imani utapata mke bora! Pia jitahidi kuwa smart(kama haupo smart) wanawake wengi wanavutiwa na hiki.
 
Mwombe Mungu kwa imani utapata mke bora! Pia jitahidi kuwa smart(kama haupo smart) wanawake wengi wanavutiwa na hiki.

Ahakikishe anapiga mswaki ipasavyo......kikwapa kipo katika hali nzuri.....boxer iwe safi.....unyunyu mzuri wa maana...(sio cobra au YU)....na kama anavaa vile viatu vyenye ulimi nje kama wa mbwa abadiishe.....na ajitahidi kuwa yeye kama yeye.......na sio kuiga wengine........
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?
Swali moja kwako?.upo vizuri kwa wallet,if yes then una tatizo lakini kama wallet empty,then their is ur problem..!
 
Back
Top Bottom