Wanawake wote wananikataa!

Wanawake wote wananikataa!

:lol::lol:

Oya Mwali, mume huyo, mchukue, si unauhakika atakuwa wako peke yako. Sema tatizo wabongo wanapenda vya watu, sahizi wanamkataa ukimchukua ukamuweka kwenye form wadada hao. Na hasa watakavyojua yupo na mwali ndoo wanajiandaa kufunga ndoa duh hadi kaka atashangaa. Atahisi kuna jina limemtoka kumbe wapi..wabongo ni soo
 
hahahah hujatuambia hao wanaokukataa huwa unakutana nao wapi,mie naona uwe unawatumia barua kama zamani mabibi na mababu zetu walivyofanya shurti barua ya makopa kopa na pafyumu haahhahaaaaaa:A S shade:
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?

Unaujua mto karanga .... nenda kaoge mara 3 kwa siku, pita acha kunywa pombe pale kb, ukifanikiwa hayo, anzamkwenda MAPAJA street utapata tu mke ...
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?

Mh!spirtual wife!
 
hi!wanajamii forum!
mimi ni mkazi wa moshi nina umri wa miaka 30, kila mdada nikimtongoza ananikataa na sasa natafuta mke wa kuoa!
jamani nisaidieni nijikeep vipi ili niweze kupata mwenza wangu wa maisha?

Katafte mapesa wewe watajileta wenyewe utafanya kuchagua, au jaribu kutoa wimbo mkali bila kusahau kuvaa viskin jeans na kupaka wanja kama akina flani nakuhakikishia utarudi hapa na thread inayosema wanawake wananisumbua mpaka nimechoka
 
Acha kula mirungi na uache utapeli. Jina lako limechafuka kwa 7bu izo. Hkn mwanamke anayetaka taabu ya kwnd vituo vya polisi kila kukicha
 
if he's just not good looking there is nothing much he could do. Lol sowryy
 
Kama fundi makanika na maji unayakimbia nani atakukubali? Jiweke msafi,mtana shati,waleti inasoma watajileta kama senene kaona mwanga usiku.
 
Mke/Mume mwema anatoka kwa Mungu (huwa nawasikia wachungaji wakisisitiza hivyo kwa waumini wao)
Hivyo, omba kwa Mungu, utampata aliye chaguo lako, uliye chaguo lake. Lakini pia, zingatia yote unayoyaona mema ambayo wengine wamechangia, inawezekana wamefunuliwa ili upate mwenza mwema.
 
Mh..mkuu dunia ipi hiyo ya kutongoza mademu siku hizi? eti bro mzabzab, when was the last umetongoza demu!??:A S 39:

Ebu fanya mpango uhamie Dar ukutane na kina Asnam wao pesa tu mapenzi second palce..u neva know unaeza bahatika!!!:tape2:
ww umemiss ugomvi si bure,mie naishi Washington.
 
Acha uoga ww mtoto wa kiume. Kwanza jiamin, Pili jikubal jinc ulivyo, Tatu kuwa na maneno mazur kwa wa2 wote. Nne jenga mazoea ya kuongea/kusalimiana na watoto wa kike
 
Back
Top Bottom