Ndio mnatupiga pesa ndefu sana, sijui huko tumboni mlianza kupeana semina?Sina hiyo tabia mkuu sema napendwa na weusi
![]()
Dhem naogopa kukujibu ujue🤣Sasa kwanini weusi wengi wanajichubua jamani chanzo siyo nyie wanaume mnaosifia hapa? Waambieni sifa za uzuri wao ili Iwape kujiamini...
Usiogope shem twende kazi...Dhem naogopa kukujibu ujue🤣
Ndio mnatupiga pesa ndefu sana, sijui huko tumboni mlianza kupeana semina?
Asante mama mzunguu, yaaani mimi nikiuona wanawake weupe kama nyie hua nasuuzika moyo Sana!!😄😄Nipo hapa mkuu… tunapendwaga na wanaume weusi wale wa kanda ya ziwa na kusini![]()
Lakn s n mweusi zuchuAwe hivi aringee hii ni editing bishoo Zuchu hana hiyo rangi
SinaUna mama!?
Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea.. unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu
Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni![]()


dahMimi wanawake weupe ndo wachukue 🌹🌹🌹🌹Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea.. unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu 😊😊
Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni 🌹🌹🌹🌹
Kufilisi na rangi vina uhusiano?Na hawafilisi mwanaume...kuliko weupe
Ukiona mtu kafilisika Tu ujue ana mwanamke au wanawake weupe wanampelekesha
na wewe ni mweusi?
upewe maua yako😋Kama andaazi![]()
Asante napokea kwa mikono miwiliupewe maua yako![]()