Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

Mtanadi sana sijui chokoleti color,maji kunde ila ukweli mwanamke mweupe anaonekana zaidi!!😄😄

Mwanamke mweusi akiwa na muonekano mbaya ndo anazidi kuwa mbaya zaid😳😳😳😳

Mweupe akiwa hata ana muonekano mbaya weupe wake humbeba kupunguza makali madhaifu yake, ataonekana mzuri kinamna
CHAI
22.jpg
 
Kinda huyo
😅😅😅 tumuache tu hakuna haja hata ya mumtonyaa.. hizo ziwe zimeng'aa na mafutaa ohooo baraaa lake sio dunia hiii.. ukitazama tu.. 🔥🔥🔥🔥 ukigusaaa ni 🔥🔥🔥🔥 kuzishika ni 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Asante kwa mawazo yakoo.. ila weusi ni 🔥🔥🔥🔥... huwezi linagnisha mweupe na mweusi mkuu..
Ona hata wasanii % kubwa madem/ wake zao ni weupe!!!
Nyie mnaoa weusi mnaanza kujatongoza wake zetu weupe, mwishoe mnatuua kwa presha 😄😄

Wadada weupe mko wapi nawapigania soko lenu huku nyie kimya!! Mmoja anionge upapa mweupe wenye v v u zi laiiini km vimalaika😄😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom