Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.

May God bless all black women..
Hata hao unaowaona weupe ni mikorogo tu bali wote ni weusi..!!
 
Kiukweli mbavu toa ndiyo maana nimepiga kambi hapa.

msiishie kupewa sifa tu na sisi tuangalieni sasa tunaowapa sifa mtufikirie.
Ndoma unaogopwaaaaa ha ha haaa

Hukawiii kujitangulizia
 
Ni kwasabb hawana soko sasa ukiwatokea wanaona ni bahati ya mtende wanaganda na kujinyenyekeza. Dada ana rangi yake ya mng'ao na shape ya haja unataka akutetemekee wewe nani? Unashuka wanapanda watatu, sita wanagombania kuingia.
 
Back
Top Bottom