Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nipo mamyNipo wangu.
Za kutupana mana sio kwa kuadimika kiasi hiki
Nimekuja kusoma sifa zako
Nipo mamyNipo wangu.
Za kutupana mana sio kwa kuadimika kiasi hiki
NgastukaaShemeji kama umepanik hivi!!
Pole shemejiHuyo binti ni nanii yaani ananitukana asubuhi asubuhi hivi....
ShkamoMmh nini....
HahahahaTangu niliposikia hizi sifa
Hajakutukana, msome vizuri kuna sifa umeitoa ambayo kwakweli ni ya kichwa kingine.Huyo binti ni nanii yaani ananitukana asubuhi asubuhi hivi....
Hahahahaa! Wameamua kutukumbuka na sisi mana mpaka tusifiwe humu ni kwa mwaka mara moja.Nipo mamy
Nimekuja kusoma sifa zako
Shem be positive bwana, usichukulie kila kitu tooo serious like that plz.Unajua kumwambia mwanaume unafikiria kutumia kichwa cha chini ni sawa na kumwambia mwanamke unafikiria kutumia kalio eeh?
Na kila siku nipo hivyo.Shem be positive bwana, usichukulie kila kitu tooo serious like that plz.
Teh teh teh haki ya Mungu!!![]()
![]()
aisee siwezi kupishana na hizi sifa mubashara
Kumbe Dota ndo jina lako halisi.Tangu niliposikia hizi sifa
Afadhali na wewe umeliona hiloHajakutukana, msome vizuri kuna sifa umeitoa ambayo kwakweli ni ya kichwa kingine.
We acha tuu, inabidi tuweke kumbukumbuHahahahaa! Wameamua kutukumbuka na sisi mana mpaka tusifiwe humu ni kwa mwaka mara moja.
Huna dalili nzuri wewe ha ha aaa sio lazima ziwe zote nyingine inategemea na malezi tuKuna sifa umwiacha mkuu ebu imalizie basi![]()