BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,331
- 8,987
Ww bila kukosea utakuwa ragi ya maji ya kunde [emoji13][emoji13][emoji13] rangi moja adimu sanaaSifa ipi hiyo kama ni nzuri niwe mweusi rasmi.
Ww bila kukosea utakuwa ragi ya maji ya kunde [emoji13][emoji13][emoji13] rangi moja adimu sanaaSifa ipi hiyo kama ni nzuri niwe mweusi rasmi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anaongelea weusi wa India.
Heaven Sent mie mweusi kwakweli.
Mimi nawapenda weupe, tafadhari tuungane kuwatetea weupe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Basi na mimi nakuwa mweusi.
auMasizi au?
Subiri uzi wao.Mimi nawapenda weupe, tafadhari tuungane kuwatetea weupe
Ewaaaaaa yakhee hii sifa jamaa hakuisema yakheeeWana K Matata Sana, trust me,
Hawajivuni, wanajua kupenda japo wengi huishia kuumizwa,
Wengi ukiwaona haraka haraka hauwezi gundua ubora wao, ishu nao uone
Hapana, mimi mweusi.Ww bila kukosea utakuwa ragi ya maji ya kunde [emoji13][emoji13][emoji13] rangi moja adimu sanaa
Kiukweli mbavu toa ndiyo maana nimepiga kambi hapa.
msiishie kupewa sifa tu na sisi tuangalieni sasa tunaowapa sifa mtufikirie.
Hahaha... halafu ujue nimegundua kitu leo! Asante mtoa mada.Sawa tumekusikia Sukari ya warembo tutawafikiria. [emoji2]
Umegundua nini?Hahaha... halafu ujue nimegundua kitu leo! Asante mtoa mada.
Mambo si ndio haya sasa.
Habar yako shemNasikiaga sikiaga watu wazima wakinena kumbe kweli s[emoji15] [emoji15]
Hata sia uhakikaMkuu au blackcute? [emoji13][emoji13][emoji13]
Nzur shem kwema kbsHabar yako shem
Angalia wanawake wote waliosema ni black/weusi humu then chukua image zao wnavyoappear hapa JF. Naomba jibu ubaki nalo kichwaniUmegundua nini?
Kwa kweli itabidi tuwe tunaenda tu na upepo wa sifa. Siku wakisifiwa weupe, tunahamia huko huko