DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
Watengeneza mkorogo watatengeza wa kuwafanya wadada weupe wawe weusi kutokana na sifa hizi.
DahhhhhHata mimi nipo kotekote. Siku mkisifia weupe msiache tu kunitag
BabuuuuTaratibu watajiuaa sifa nyingi saana hizo
Sifa zilipo; TupoKwakweli, hata wekundu tutakuwepo tu.
Eeh mjukuuBabuuuu
Bado bana, nachukua course kwa HarmorapaDahhhhh
![]()
![]()
![]()
![]()
Nawewe umeanza usaniii.....
Kabisa mkuu na ukiacha fulsa ikapita usilielie lazima upenyeze kila fulsa hafu usikilizieTehteh kila kazi lazima iwe na return. Haha sio tunaishia kisifia tu.
Angalia usipigwe cha mbavu lakini maana kina umaKabisa mkuu na ukiacha fulsa ikapita usilielie lazima upenyeze kila fulsa hafu usikilizie
Na kwa maana hiyo, sio kweli kwamba wanawake weusi wako hiyo tabia haina rangi. Akija mwingine akatoa shuhuda ya mwanamke mweusi apa tutashangaa wote.Rangi na sifa ulizotoa hapo mi cdhan kama rangi ya mtu inaendana na sifa hizo..!!! Hizo ulzotaja hapo ni tabia na tabia cku zote huwa ipo ndan huez kuiona mpaka ukae nae kwa muda ndo utajua tabia yake
AiseeeAngalia wanawake wote waliosema ni black/weusi humu then chukua image zao wnavyoappear hapa JF. Naomba jibu ubaki nalo kichwani
Ha haa haa naangalia sifa mana nyumbani kweusi @DabbyManga... kulikoni hautoki kwenye huu uzi?

Ntakua makini sanaAngalia usipigwe cha mbavu lakini maana kina uma
HahahaNdiyo!But black handsome.
Nimefurahi kukuona mkuuKabisa mkuu na ukiacha fulsa ikapita usilielie lazima upenyeze kila fulsa hafu usikilizie
Asante mkuu kwa hilo