Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.

May God bless all black women..
Ila mara nyingi wanakuaga na tuchura tudogodogo sana but kiukweli black is beauty!
 
Back
Top Bottom