Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

BlackTrump

Member
Jun 26, 2016
68
175
Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.

May God bless all black women..
 
Back
Top Bottom