luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,802
Hizo tafiti ni ujinga kabisa, kumbuka wadada kwenye matako makubwa ulisoma nao walivyokuwa bogus. Hata mitaani hata uko ofini jaribu kukumbuka.Kwangu kikubwa ni kifurushi chake tu alichojaliwa, sina nia mbaya mkuu kikubwa mwanangu nataka aje kuwa na akili kama tafiti za chuo kikuu cha oxford kinavyosema
Wewe oa mwanamke roho inataka imagine wewe kama baba ni bogus unadhani mtoto akili atatoa WAP??
N.b siwasemi wenye matako makubwa kwakuwa Nina wivu, Nina kiumbo changu kizuri guu la bia,kono la maana loh msituchoshe loh😂