Wanawake wenzangu mnajiua bila kujua

Wanawake wenzangu mnajiua bila kujua

Hahahahaaaaa!

Nimechanjiwa kwetu....nikiwagusaga tu huwa hawakatai!

Ila ngoja nikupe siri...usinitukane hata siku moja. Usiniite gay.

Asilimia 99.98 ya wote walionitukanaga huwa naishia kuwakula tu teh teh teh.

Natania tu bana....
Utani wa kweli...

Natania pia mimi,.teh teh teh๐Ÿ˜Ž
 
Atakuwa mtamu pia,.duuuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

Shhhhhh.....ukisema hivyo utaanza kuambiwa na wewe nimekukula. Shauri yako.

Kwanza hivi tunavyochat hapa usikute tayari PM na Huko whatsapp meseji zinatembea kuwa na wewe tayari ushakulwa.

Nisicheke na mchuchu humu...tayari watu wanahisi nishamkula!
 
Potelea pote kwani ndio itabadili ukweli,.hahahah i don't care,.
 
Back
Top Bottom