Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Acheni ugomvi wenu mfyuuušwe mbona hutaki kuja...??Eti anaogopa jamani
Acheni ugomvi wenu mfyuuušwe mbona hutaki kuja...??Eti anaogopa jamani
Msindikize basii St NN,.Kasema mwende mkakulwe wote...
Acheni ugomvi wenu mfyuuušwe mbona hutaki kuja...??
Huko kunakufaa wewe tuAcheni ugomvi wenu mfyuuu[emoji23]we mbona hutaki kuja...??
Hunitakii mema wewe nisindikizwe na mtakatifu NgabuMsindikize basii St NN,.
Msindikize basii St NN,.
Akuuuu,.sijachagua mimi,.ila sehemu nilipo ndio makao makuu yao ndio maana naogopa kukulwašKwa nini umechagua kukulwa na Boko Haram?
Hunitakii mema wewe nisindikizwe na mtakatifu Ngabu
Unaogopa utamkula na yeye shualina?? hahahaHahahaaa....nikimsindikiza itabidi utakatifu nistaafu kwa muda.
Hahahaaa....nikimsindikiza itabidi utakatifu nistaafu kwa muda.
Teh teh....mimi sikuli siku hizi. Nimeokoka nikapewa hadi na utakatifu...
Hapana kwakweli nitakuja mwenyewe huwaga nawaza mtakatifu Ngabu labda ana kizizi ujue cha kukula watuUnaogopa utamkula na yeye shualina?? hahaha
Hiyo ya kutia mwili joto faida yake inapunguza uzito..but mambo ni hayohayo ukiiendekezaNina mikanda miwili ila kuivaa naona inaninyima raha. Nilisomaga mahali pia sikumbuki wapi ila wakasema hii mikanda inaharibu vitu vya tumboni. Kuna hii ya kutia mwili joto iko kama ya plastick kwa ndani kazi yake kufanya mwili usweat hasa maeneo ya tumbo wakati wa kufanya mazoezi nayo mibaya?? Maaana najichanga changa hapa nikaununue.
Sema wanene nasi tuna shida khaaaah [emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaogopa kukulwa na mtakatifu??eti shualinaššmtakatifu akikukula moja kwa moja unaenda mbinguni,we hutaki??Hunitakii mema wewe nisindikizwe na mtakatifu Ngabu
Unaogopa utamkula na yeye shualina?? hahaha
Mtakatifu abaki na utakatifu wake tu mm hapana jamaniUnaogopa kukulwa na mtakatifu??eti shualina[emoji23][emoji23]mtakatifu akikukula moja kwa moja unaenda mbinguni,we hutaki??
Amaaa. Kumbe nikiendekeza. Ngoja nivae kidogo niwe na kiuno kama Kim mieeHiyo ya kutia mwili joto faida yake inapunguza uzito..but mambo ni hayohayo ukiiendekeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kweli jomoniii Nyani Ngabu sijui ana mitishamba sio kwa kukula huko nyama noroo hahahahahahaha šššHapana kwakweli nitakuja mwenyewe huwaga nawaza mtakatifu Ngabu labda ana kizizi ujue cha kukula watu
Hapana kwakweli nitakuja mwenyewe huwaga nawaza mtakatifu Ngabu labda ana kizizi ujue cha kukula watu
Sasa jeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngashtukaHalafu kweli jomoniii Nyani Ngabu sijui ana mitishamba sio kwa kukula huko nyama noroo hahahahahahaha [emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu kweli jomoniii Nyani Ngabu sijui ana mitishamba sio kwa kukula huko nyama noroo hahahahahahaha ššš
Sasa mtakatifu Ngabu nijikute tu nakutukana umenikosea nini mimiHahahahaaaaa!
Nimechanjiwa kwetu....nikiwagusaga tu huwa hawakatai!
Ila ngoja nikupe siri...usinitukane hata siku moja. Usiniite gay.
Asilimia 99.98 ya wote walionitukanaga huwa naishia kuwakula tu teh teh teh.
Natania tu bana....