Luckme
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 713
- 758
Piga zoezi dk10 kila cku tumbo linakata kabsa nyama uzembe zinaisha.....kuna mazoezi mengi tu YouTube ukoasante kwa ujumbe. yani ndio nilikuwa najipanga nikaununue
Piga zoezi dk10 kila cku tumbo linakata kabsa nyama uzembe zinaisha.....kuna mazoezi mengi tu YouTube ukoasante kwa ujumbe. yani ndio nilikuwa najipanga nikaununue
Hivi babe hujawahi vaa kweli usinidanganye basiHizi vitu bhanaa hahahahha,.huwa nawaza;ndio umevaa mwenyewe na kwa nje kweli mashAllah unaonekana umedamshi kama jlo vilee,.sasa ndio umefika chumbani na babe wako unavua mamikanda yako vitu vinaanza kumwagika wogorowogoro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumbo kule kama ngoma ya kijiji woiii nyamanyama sasa kama bajomba wa kihindi...tabu ya nini aaahh,.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kibana tumbo kimekufanya umekuwa na no 8[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiiii namimi nimevaa kibana tumbo babe,.umenisisimua jomoniiii
Tena kimyakimya
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi vitu bhanaa hahahahha,.huwa nawaza;ndio umevaa mwenyewe na kwa nje kweli mashAllah unaonekana umedamshi kama jlo vilee,.sasa ndio umefika chumbani na babe wako unavua mamikanda yako vitu vinaanza kumwagika wogorowogoro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumbo kule kama ngoma ya kijiji woiii nyamanyama sasa kama bajomba wa kihindi...tabu ya nini aaahh,.
😂😂😂😂😂😂babe aki vile sijawahi,naogopa nikiwa chumbani na shem wako ntakuwa wogorowogoro😂nawaza niuvae nikijifungua labdaHivi babe hujawahi vaa kweli usinidanganye basi
Kweli..but unaweza kubana tumbo ndani ya wiki kwa diet. Ukiamua hushindwiDiet na Exercise havijawahi kumtupa mwanamke yeyote anayetaka shepu aipendayo.... ila sasa uvumilivu ndio hua shida.
😂😂😂😂😂uuuwwwiii me stakki jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi mwenzio aduwae kwa sekunde kadhaa. Nawe uanze kujieleza figa namba nane imeenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atashangaa haya manyama yametokea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babe aki vile sijawahi,naogopa nikiwa chumbani na shem wako ntakuwa wogorowogoro[emoji23]nawaza niuvae nikijifungua labda
Huku niliko ni dayati tuu babe,.sili wanga kabisaa mm😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kibana tumbo kimekufanya umekuwa na no 8
Si ndo hapo😂😂😂me anipende tuu kama nilivyo akitaka namba 8 aje tuu kwenye ukoo wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atashangaa haya manyama yametokea wapi
AsubutuuuuuuuuuHuku niliko ni dayati tuu babe,.sili wanga kabisaa mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuuu ukoo wa wakina nani una no 8 ebu acha kunitukana mmSi ndo hapo[emoji23][emoji23][emoji23]me anipende tuu kama nilivyo akitaka namba 8 aje tuu kwenye ukoo wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atashangaa haya manyama yametokea wapi
Ukoo wenu babe..hivi tanga line kuna namba 9 kweli???labda mianzini😂😂Mfyuuuuu ukoo wa wakina nani una no 8 ebu acha kunitukana mm
Huku niliko ni dayati tuu babe,.sili wanga kabisaa mm😂😂😂😂
Dah...Kwani kikawaida unatakiwa uripoti ofisini kila baada ya mlo?Green tea baada ya kula chakula ni nzuri kwa digestion. Utaripoti ofisi juu nusu saa au lisaa moja baada ya kunywa green tea. Nimeona matokeo mazurka ila Nina miss caffeine.
Kula ukwaju baada ya chakula pia ni nzuri au kunywa juice ya ukwaju.