Wanawake wenzangu mnajiua bila kujua

Wanawake wenzangu mnajiua bila kujua

Hapo mkuu
Ona mfano huyu. Alikua na tumbo la kawaida akalibana kwa mikanda mafuta yakahamia chini hips zikajaa zaidi.. Now ni umbo lake tu hana story mpya
View attachment 989940

Sent using Jamii Forums mobile app

Hmm! We Conchita....

Kwa unataka kusema ukilibana sana tumbo, mafuta yaliyopo tumboni yanahamia sehemu ingine?

Ni science gani hiyo? Junk science ama?
 
Vinasaidia kukausha mafuta or digestion?
Green tea baada ya kula chakula ni nzuri kwa digestion. Utaripoti ofisi juu nusu saa au lisaa moja baada ya kunywa green tea. Nimeona matokeo mazurka ila Nina miss caffeine.

Kula ukwaju baada ya chakula pia ni nzuri au kunywa juice ya ukwaju.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivo ngabu. Kuna techinic za kukausha mafuta na tumbo linarudi flat.. Lakini hiyo mikanda inakandamiza haikaushi wala kuondoa hivo yanashift
Hmm! We Conchita....

Kwa unataka kusema ukilibana sana tumbo, mafuta yaliyopo tumboni yanahamia sehemu ingine?

Ni science gani hiyo? Junk science ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivo ngabu. Kuna techinic za kukausha mafuta na tumbo linarudi flat.. Lakini hiyo mikanda inakandamiza haikaushi wala kuondoa hivo yanashift

Sent using Jamii Forums mobile app

Hmmm...hiyo science nina mashaka nayo.

Njia bora ni combination ya diet na exercise. Unaingiza calories chache mwilini na unatoa nyingi [caloric input is less that caloric output].

Hiyo ya mkanda bado nina mashaka....but it’s all good.
 
Kha yaani ....shosti mwe....nimeongea kishostito.....afazali mmejitambua maana huwa najiulizaga ukibana tumbo hivyo chakula si kitaishia mdomoni...mtashindwa kumeza hata tonge moja la ugali...
asante kwa ujumbe. yani ndio nilikuwa najipanga nikaununue
 
Mkuu ukijibana hutaweza kula kama kawaida.. Yani kama ulikua unakula sahani nzima sasa utakula vijiko vitatu umeshiba
Kha yaani ....shosti mwe....nimeongea kishostito.....afazali mmejitambua maana huwa najiulizaga ukibana tumbo hivyo chakula si kitaishia mdomoni...mtashindwa kumeza hata tonge moja la ugali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nasoma uzi wako naona JF wamekuona wakaamua kutuma tangazo chap chap[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Screenshot_20190109-113919~2.jpeg
 
Hizi vitu bhanaa hahahahha,.huwa nawaza;ndio umevaa mwenyewe na kwa nje kweli mashAllah unaonekana umedamshi kama jlo vilee,.sasa ndio umefika chumbani na babe wako unavua mamikanda yako vitu vinaanza kumwagika wogorowogoro 😂😂😂😂😂tumbo kule kama ngoma ya kijiji woiii nyamanyama sasa kama bajomba wa kihindi...tabu ya nini aaahh,.
 
Back
Top Bottom