Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,870
Sijawahi na wala sijui kwa hali hii ai nimechoka aisee naogopa kama atakuwa shoga naogopa kama jogoo hapandi naogopa sana.Mleta mada umeolewa? Au umeshawahi kuolewa? Samahani, hili swali muhimu sana.
Wewe ni single parent because mimi sina hata mtoto may next year ndio nitakuwa nahema hema .Mi nimekubali mbona sijitambui yote sema ila pole wamekuchezea wengine na kukuzalisha wengine sasa single parenting inakutesa kwanini usijitambue [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wao nakula aisee breakfast na nipo kazini sasa baadaeni tuonane saa nne tano. Chai.Utafiti ninao uamini ni vitendo kwahiyo unatuthibitishia umefanya ngono na zaidi ya watu 200 ukajilizisha kuwa wengi wao hawana nguvu za kutosha siamin kama unaweza muona mchawi kama ww sio mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .
1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.
2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.
So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.
3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.
4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.
5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.
6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.
7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.
8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.
Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashaallah!Ewaaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mpaka nimekuhurumia mdogo wangu. Hiyo picha uliyokuwa nayo umeikuza sana.Sijawahi na wala sijui kwa hali hii ai nimechoka aisee naogopa kama atakuwa shoga naogopa kama jogoo hapandi naogopa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaaa ila uanaume si garHakuna wanaume hata kumiliki magar hawawez
Hawana tofaut na wanawake ptuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wanaume hata kumiliki magar hawawez
Hawana tofaut na wanawake ptuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Mwanaume anapaswa kumiliki dushe linalofanya kazi.Gari achia Waromboo!
Msongo siku zote mwenye nao huwa hajijui mala nyingi watu wake wa krb ndio hubain tatizo ss ww uko na shida hyo lkn hujijui ktk wanaume takriban 27milion tz yote wote hujapata wa kukukojeresha hata ukaleta fedhea hii kwa jf ushauri wng kwako najitoa mhanga kwa ajiri yko Nikupe Shooo lkn sharti Upime VVU kwanza KrBBaba yangu mimi alikuwa mtu wazamani na alikuwa hana shida ndio maana nikazaliwa sasa nyie mmendekeza upuuzi ndio maana mnafumulia kama nini yaani stlye yakuchuma mchicha wanawake wanachuma na nyie mnachuma [emoji41][emoji41][emoji41] aibu unakuta umeoa ila unaliwa kama jirani yetu alisema kuwa mume wake amekuja toka kazini ila cha kushangaza kuivua boxer ili akaoge mama muhusika akafa kwasababu alikuta kwenye boxer nyuma hata sio mbele sasa mbegu kibao kibao za mwanaume sasa mnalizunguziaje hili hata humu kuna hiyo tabia imejitokeleza ndio maana hata wanawake wengine wamesema kuwa unalala na mume wako ila hakugusi au boyfriend wako ila hakugusi kumbe kafumuliwa hana hata hamu.
Wengine jogoo haliwiki mke anasubiri haki yake hakuna [emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app