Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Sasa Mkuu vitambi vyetu vinakuhusu nini, kwani umelazimishwa uwachukue wenye vitambi, kitambi cha mwingine kuumia uumie wewe,kuna wenzako wanavipenda ujue, halafu mara nyingi nyie mnaokosoaga vitu ndio wahanga wakubwa,kama sio mkeo ana kitambi basi gf wako ana kitambi, na ww pia unacho au una kibamia, tupishe sie na vitambi vyetu kwa raha zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea kwa uchungu mkubwa aki
 
Wakuu
Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge

Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume wengi hapa jijini kwani vitambi vimewapelekea kuwa ni wanawake mizigo kitandani yaani wamekuwa zaidi ya furushi

mwanamke na kitambi yaani ukimuona huwezi jua kiuno kimeanzia wapi na kinaishia wapi zaidi kitumbo mbele tu

tumbo la mimba ni zuri na linampangilio wake wa kuvutia tofauti na haya ma-iregular tumbo

mwanamke na kitambi hawezi kuzungusha kiuno na kulikatikia dushe anapopewa njukuti kunako 6*6

naomba niweke wazi, kama unajiona ni mwanamke na unalikitambi...please kaa mbali na Once set
Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kuongezeka tumbo huku wakitarajia kuongezeka matako.
 
Sio ukute nina likitambi ukweli ni kwamba nina kitambi sio cha nchi hii, nusu ya kilo zangu zinatoka kwenye kitambi.

Ila na wewe itakua ni mfupi kama Steve Nyerere.
Wewe ukute unalikitambi na bado una ghubu hapo mwanaume unatamani kuhama dunia, utajiuliza maswali yote ulikosea wapi usijue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado nawaheshimu sana kwa kuwa hata mama yako alipata tumbo kubwa baada ya kukuzaa wewe mwa upresheni ,
 
Dah, sio poa kabisa hakuna anaependa kuwa hivyo ila ameumbwa na mwili wa hivyo kuna wengine hata ufanye mazoezi ya aina gani hawezi kupungua. Let them be, hatuwezi kuwa sawa wote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman kuna watu wanavitambi jaman nilpanda kwenye gar moja la kawe mdada mzuri ila tumbo jaman mimba ya miez tisa kidogo yan mwanzon nilihis mimba ila nkawa najiulza hyo mimba gan mtu avae suruali imembana namna hyo na lishat likubwa nkaendelea kuchunga kumbe kitambi bwana nilchoka kwakwel mdada mwenyewe naona hana raha kabisa an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeenh we ndio hujui basi, hao wenye vitambi ndio wenyewe...

Ukimlalia juu ule upepo wa tumbo unatawanyikia kwenye papuchi huko, inaifanya papuchi iwe imetunatuna hivi raha burdaaani....

Burdani nyingine ni kwenye ule mshikemshike wa kutafuta papuchi ipo longityudi na latityudi gani, mara umeweka kwenye kitovu mara umeweka pale...teh teh!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unadhani hivi vitambi tunavipenda? ......

Jamani anayejua namna ya kupunguza tumbo kwa njia za asili anielekeze mi staki kufunga mkanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia kesho asubuhi kunywa maji ya moto kiasi ukiweza kamulia na ndimu moja au zaidi upendavyo kabla hujakula kitu chochote, jumlisha na mazoezi ya kuondoa kitambi unaweza kucheki you tube uretemlejesho mamy nikuelekeze njia nyingine
 
Back
Top Bottom