Wanawake wenye vipini puani

Wanawake wenye vipini puani

Ugonjwa wangu huo kipini. Wengi wao ndogo ni uhakika

Screenshot_20230115-204916.png
 
Ila hapa kinachotusumbua ni utofauti mkubwa wa tamadun, mila na desturi zetu ndan ya taifa moja la makabila mengi.
Nitakuwa wa mwisho kuvalisha tabia kwenye hizo urembo kwa wengine.
Najiuliza ujisahahu upeleke kwetu mwanamke ana kikuku, pini za puan na jichoni au mishanga. Walai atalazwa chooni!
Najiuliza mke wa mtu kwetu akutwe kasasambua. Aisee.
Ama kweli Najivunia kwetu bila kudharau wengine
 
Mtu ambae anaweza kuvumilia maumivu ya kutobolewa mwili ili tu aonekane mjanja/mrembo hana cha kupoteza kuachia shimo la mkojo kupitisha dula na akanawa/ akaosha na kuendelea na maisha yake kwa senti chache.

Kuna vitu ni viasharia jinsi gani mtu anaweza kufanya lolote....hao wa vipini, wenye vikuku na wenye tatoo ni wale ambao wanajiona wao wajanja sana na wasasa kiasi cha kuona kulala na mtu "no strings attached" sio tatizo kabisa.
Bhahahahahaaa
 
Rejea somo tajwa hapo juu, utafiti wangu niliyofanya Kwa kutumia sampuli 20 (10 zina vipini na 10 hazina) umebaini kuwa Wanawake wenye vipini wanatiika (kuwa mwelewa) kirahisi zaidi kuliko wasio na vipini, sijajua sababu ni nini.

Matokeo ya utafiti:
Kati ya sampuli 10 zisizo na vipini, sampuli 3 zilitiika baada ya kuahidiwa pesa(yaani unamwambia direct mimi nataka kushare njia ya haja ndogo na wewe, nitakupa elfu 50 kama utakuwa willing na hapo hapo anakubali mnapanga siku ya kukutana).

Kwa upande wa sampuli zenye vipini, sampuli 7 zilikubali immediately.

Location za sampuli; sampuli 5 nilizipa lift nikaongea nazo, sampuli 4 nilikutana nazo kwenye harusi (ukumbini) sampuli 10 ni za mtaani, moja ni Facebook.

Kigezo cha kuchagua sampuli ni shape na dimpoz, nawasilisha.
Research tayari
 
Kwa mwendo huu tusitegemee bei za vyakula zishuke...
 
Back
Top Bottom