To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,213
- 34,446
Hapo umenenaOnce used always dumped 👾
Hapo umenenaOnce used always dumped 👾
Sisi kwetu kuanzia bibi yake bibi alitoboa na hakuwa malaya wala nini maana ukweli haufichiki, na vijukuu na vitukuu mwendo ni uleule tuu.. Vitu vingine ni tabia ya mtu tuu...😂😂😂Ila hapa kinachotusumbua ni utofauti mkubwa wa tamadun, mila na desturi zetu ndan ya taifa moja la makabila mengi.
Nitakuwa wa mwisho kuvalisha tabia kwenye hizo urembo kwa wengine.
Najiuliza ujisahahu upeleke kwetu mwanamke ana kikuku, pini za puan na jichoni au mishanga. Walai atalazwa chooni!
Najiuliza mke wa mtu kwetu akutwe kasasambua. Aisee.
Ama kweli Najivunia kwetu bila kudharau wengine
Kweli aisee. Hapa nimeingia chaka 🙏🙏🙏Ila mwanangu ungempea DM
Hatari huyo kiumbe hautajuta mwanawane🤣🤣🤣Asante sana mwamba, ngoja namimi nishiriki kuinua uchumi wake kupitia kitega uchumi chake.
Kaka naomba uidelete hiyo post yenye number..au uiedit ufute noKweli aisee. Hapa nimeingia chaka 🙏🙏🙏
hili ni pembe la ndovu.
Ugonjwa wangu huo Kaka! Wapo sexy sana aisee na wajuvi wa mamboMimi mniue tu, ila mwanamke mwenye kipini huwa ananivutia sana.