Mungu anatoa Tako?Ni kweli kwa wanawake wengi wenye shape nzuri sana na miguu ya haja hawana sura za mvuto.
Wanawake wenye shepu nzuri sana pamoja na sura nzuri ni wachache.
Mungu ampi mtu vyote.
Weka pichaHabari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?
Nawasilisha
Itakuwa Hamba luluAtakua anamsemea Wema Sepenga......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wacha utan na mmweka yako tuonee,maana naona una guu la bia
hahahahaaa uko vizuri eeehh?tatizo sura
Labda Sister P....[emoji12] [emoji12]Itakuwa Hamba lulu
Sasa jee iwejeee kote mtam ila sura tu ndio inaalibu pozi....Hehehee unakuwa unawaza uko na Rihanna